-->

Daily Archives: January 6, 2016

Wastara Ndoa Tena!

Post Image

BAHATI ILIYOJE! Baada ya hivi karibuni mumewe, Juma Kilowoko ‘Sajuki’ kutimiza miaka mitatu kaburini, staa wa filamu Bongo, Wastara Juma amefunguka kwamba anatarajia kuolewa tena kwani ameshapata chaguo sahihi. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko nyumbani kwao Tabata Barakuda jijini Dar, Wastara alisema wakati wa msiba wa mumewe aliweka nadhiri kwamba ataolewa baada ya miaka mitatu hivyo […]

Read More..

Kutokana na Malumbano Yao Mitandaoni, Mzee ...

Post Image

Jana ilikuwa siku ya kuzaliwa Mzee Yusuf,kumekuwa na malumbano ya mara kwa mara kwenye mitandao ya kijamii kati ya wake zake wawili Leila na Chiku,Mzee Yusuf amesema hafurahishi na malumbano hayo… ‘’Sio vitu vizuri sifurahii huwa najaribu kuwaaambia sijui hawa wake zangu wananionaje ,pengine hawajui kuwa mimi ni mume wao hawanipi heshima yangu na hasa […]

Read More..

Picha Hii ya Diamond na Mtoto wake Tiffah Y...

Post Image

Picha hii ya mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz akiwa amem-kiss mtoto wake Tiffah yazua mjadala kwenye mtandao wa instagram. Zari the Boss Lady ‘Mama Tiffah’ ndiye aliyeiweka picha hiikwenye ukurasa wake mtandaoni humo na kuandika “Simply adorable?” Picha ambayo baadhi ya mashabiki walionyeshwa kutopendezewa nayo kwa madai kuwa kiss hilo limevuka mipaka na haipendezi […]

Read More..

Riyama, Mboto Kupamba Kichupa Cha ‘Mama K...

Post Image

Mastaa wa kali wa Bongo Movies, Riyama Ally na Mboto Haji kushiriki kwenye video ya wimbo wa mama kijacho wa msanii Tunda Man. Tunda Man ameeleza kuwa kichupa hicho kitakuwa cha aina yake tofauti na vichupa vyake alivyowahi kutoa, kichupa hicho kinaandaliwa na muongozaji mahiri nchini Hanscana. Hizi ni baadhi ya picha za nyuma ya […]

Read More..

Mtoto wa Kajala Akerwa na Kazi ya Mama Yake

Post Image

MTOTO wa muigizaji wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja aitwaye Paula, ametoa mpya baada ya kudai kuwa havutiwi na sanaa anayofanya mama yake, isipokuwa anapenda zaidi uanamitindo. Akizungumza na gazeti hili, mtoto huyo alisema anavutiwa zaidi na Hamisa Mobeto, ambaye licha ya kuigiza, lakini anatumia sehemu kubwa ya muda wake kufanya uanamitindo, kitu ambacho ni […]

Read More..

Nimegundua Mabinti Wanashindwa Kutofautisha...

Post Image

Nakaribia 50 sasa na huku mtaani kwetu nimepewa heshima ya mzee wa mtaa… na kila j2 jioni huwa nasuluhisha kesi za wana ndoa…katika kesi nyingi nimegundua mabinti wanashindwa kutofautisha mume na mwanaume wa starehe (boyfriend) na ndio maana una weza ukaenda harusini watu wakabeza aiii kampendea nn??? Anamefata hela tuu…sababu kuna vitu mnaviangalia ambavyo si […]

Read More..