-->

Daily Archives: January 16, 2016

Ray Kufungua Mwaka na ‘Tajiri Mfupi’

Post Image

Staa mkali wa Bongo Movies, Vincent Kigosi ‘Ray’ ambaye pia ni moja kati ya wakurugezi wa kampuni ya utengenezaji wa filamu ya RJ anatarajia kufungua mwaka huu wa 2016 kwa kuuachia kazi yake mpya inayokwenda kwa jina la Tajiri Mfupi ikiwa imesheheni mastaa wakali kama Ray mwenyewe, Muhogo Mchungu, Batuli na wengineo. Akiongea na chanzo […]

Read More..

Aunt, Mke wa Iyobo Wapatana

Post Image

DAR ES SALAAM: Yamekwisha! Baada ya kudumu ndani ya bifu kwa muda mrefu huku wakituhumiana uchawi, hatimaye mwigizaji Aunt Ezekiel na mzazi mwenzie na Moses Iyobo, Mwengi Ally wamekutana na kumaliza tofauti zao. Mapema mwaka jana, wawili hao waligombana kufuatia Iyobo ambaye ni dansa wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kummwaga Mwengi […]

Read More..

Ukitaka Kufikia Malengo Yako Usimuangalie M...

Post Image

Kupitia ukurasa wake wa instagram, mkali wa comedy Joti ameandika haya mara baada ya kuweka picha hii akiwa na jamaa yake toka kitambo, Mpoki. Hivi ndivyo ilivyokuwa mwanzo wetu ktk hii kazi,hakuna binadamu aliewahi kufanikiwa kwa kuogopa.. kusemwa,kuchekwa,kupuuzwa, ,alafu leo hii mtu atakuzungumzia kama vile anakujua sana,tena mpaka mishipa ya shingo inamtoka, ila wapo waliofanikiwa […]

Read More..

Stara Thomas: Sikuamiani Jinsi Sugu Alivyoj...

Post Image

Msanii mkongwe wa muziki, Stara Thomas amedai kusikitishwa na kitendo alichofanyiwa na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu cha kumpita bila kumsalimia alivyokutana naye bungeni Dodoma.   Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio Ijumaa hii, Stara alisema hakutegemea kutokea kwa hali hiyo kwani yeye aliwahi kumsaidia Sugu katika kipindi […]

Read More..

Alikiba Azungumzia Tuhuma Kuhusu Diamond Ku...

Post Image

Baada taarifa kusambaa kwe ye mitandao ya kijamii ikisemekana Diamond Platnumz kuwa ndio anayehakiki kazi za wanamuziki wa Bongo ili ziweze kuchezwa MTV Base, sasa mwanamuziki Alikiba amefunguka hivi. “Nitawaambia ukweli ambao unaohusu that it, kama ni kweli watakuwa wanakosea na sidhani kama ni sawa coz watakuwa hawapo fair.”Alikiba “Hajabeba talent ya kila mtu, kila […]

Read More..

Hongera Sintah kwa Ku ‘graduate’

Post Image

Msanii mkongwe wa maigizo nchini, Christina Manongi maarufu kama Sintah, amewashtua baadhi ya mashabiki wake baada ya hivi karibuni kuibuka baada ya ukimya wa muda mrefu, ambapo imejulikana mrembo huyo aliyewahi kuwa mpenzi wa Juma Nature alikuwa busy akipiga kitabu ambapo sasa hivi amegraduate postgraduate ya diplomasia. Hata hivyo baadhi ya mashabiki zake wamempongeza Sintah […]

Read More..