-->

Daily Archives: January 29, 2016

Eti Mimba ya Kajala Nayo Figisufigusi, Huo ...

Post Image

MOJA kati ya majina makubwa katika Bongo Muvi ni Kajala Masanja, ambaye kwa nyakati tofauti amebeba headlines katika vyombo vya habari. Ni muigizaji mzuri wa kiasi chake hasa kwa levo za wacheza filamu wa nyumbani, ingawa kwa mtu mwenye mzuka wa kufika mbali, anahitaji kujinoa zaidi ili kufanikiwa kuwa zaidi ya alivyo sasa. Kibongobongo, ni […]

Read More..

Kwa Wale Wanaopenda Kuigiza, JB Ametoa Naf...

Post Image

Kupitia ukurasa wake mtandaoni, muigizaji na mkurugezi wa kampuni ya utengenezaji wa filamu nchini, Jerusalem Films, Jacob Stephen ‘JB’ ametagaza fursa hii kwa wanawake wenyevipaji vya kuigiza. Kwa wale wanaopenda kuigiza, niliahidi kuwapa nafasi waigizaji wapya, nafasi zilizipo. Script inahitaji watu wafuatao, wanawake 6…umri 26…33..wawe wanavutia sana, wawe na uwezo mkubwa wa kuigiza. Awe tayari […]

Read More..

Rose Ndauka Azindua Jarida Lake la ‘Rozzi...

Post Image

Staa mrembo wa Bongo Movies, Rose Ndauka siku ya leo amezidua jarida lake linaloitwa Rozzie ambalo awali lili kuwa kwenye mfumo wa kidigitali. Kupitia ukurasa wake mtandaoni Rose ameeleza; Namshukuru Mungu kwa yote, ilikua ndoto yangu kubwa kuileta Rozzie Magazine iwe kwenye Hard Copy baada ya kuwa online kwa muda mrefu, Leo hii nimezindua Rozzie […]

Read More..

Wema na Idris Wafunguka Yote Usioyajua Kuhu...

Post Image

Usiku wa jana Mastaa Wema Sepetu na Idris Sultan walidhibitisha kwa mara ya kwanza kwenye kipindi cha Ala Za Roho na mtangazaji Diva Loveness kuwa na uhusiano wa kimapenzi na kwamba wana tarajia kupata mtoto wao wa kwanza. ‘’Unajua kuna kipindi nilikuwa siamini nikawa namtuma mdogo wangu akaninunulie ‘pregnancy test’nyingi ili niwe na’test’ kila siku,nilikuwa […]

Read More..

Nyamayao Aibuka, Afafanua Kuhusu Kaole, 201...

Post Image

Nyota wa filamu Nyamayao kutoka kundi kongwe la Kaole ambalo limetengeneza misingi kwa waigizaji wengi maarufu wa sasa, ameweka wazi kuwa kundi hilo bado lipo. Amesema kundi hilo bado lipo hai ingawa kwa sasa wanaendesha shughuli zao pembeni kama kundi la Kaone, akiwa pia anajipanga kutoka na tamthilia mpya ya muendelezo ambayo taarifa zake zaidi […]

Read More..