-->

Daily Archives: January 9, 2016

Tattoo Yangu ya Mgongoni Inasema- Amanda

Post Image

STAA wa filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amesema tattoo yake aliyojichora mgongoni yenye maneno ‘Mapenzi yanauma’ ni kama inasema kwani mwanaume yeyote atakayekuwa naye kimapenzi, akiiona itampa kitu cha kujifunza. Akipiga stori na Risasi Mchanganyiko, Amanda alisema alijichora tattoo hiyo baada ya kuumizwa kwa muda mrefu na wanaume, hivyo anaamini atakayefuata hivi sasa, atakuwa […]

Read More..

Dr Cheni Adai Serikali Inawaangusha Wasanii...

Post Image

Msanii mkongwe wa filamu nchini, Dr Cheni amesema wasanii wengi wa filamu bado wapo kwenye kigugumizi kwenye kuwekeza pesa nyingi katika filamu zao kwa kuwa bado serikali haijatoa kauli yoyote kuhusu ulinzi wa kazi zao.   Dr Cheni ameiambia Bongo5 kuwa hali hiyo bado inawafanya waendelee kusita kuwekeza pesa nyingi kwenye kazi zao. “Tuna ari […]

Read More..

Zari Awakosha Mashabaki wa Penzi Lake na Di...

Post Image

Zari the Boss Lady ‘Mama Tiffah’ amewakosha mashabiki wa penzi lake na Diamond ‘Baba Tiffah’ baada ya kubandika picha zake mtandaoni akiwa kijijini kwao pamoja na watoto wake na kuonekana anafanya kazi zote za nyumbani kitendo ambacho kimewafanya mashabiki kumwagia sifa kuwa ni mwanamke anayeyaweza maisha yote tofauti na wengi walivyokuwa wakimfikiria hapo zamani. Katika […]

Read More..

Masanja Arusha Kijembe , Madai ya Kusakwa n...

Post Image

Kufuatia taarifa za ‘udaku’ kuenea kuwa maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wana msaka mchekeshaji, mwimba nyimbo za Injili na mchungaji, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji kwa madai kuwa mbali ya kumiliki magari zaidi ya sita huku taarifa za kodi zake hazionekani, staa huyo hivi karibuni anadaiwa kununua gari la kifahari aina ya Toyota Land […]

Read More..

Filamu ya Gharika Baada ya Miaka 3 Sasa Kui...

Post Image

FILAMU ya Gharika ni filamu ambayo imetumia muda mwingi katika kuhakikisha inatoka katika ubora wa hali ya juu kwani ni hadithi iliyogusa maisha ya watu walikufa maji huko Zanzibar jambo ambalo lilizidisha uhalisia kwa sinema hiyo iliyotengenezwa na Mohamed Mwikongi. Ni kazi iliyochukua nafasi kubwa ya muda wangu kwani awali ilikuwa ni imeitwa Spice island […]

Read More..

Mwarobaini wa Wasanii Feki Waja

Post Image

KATIKA kile kinachoelezwa ni kuhakikisha heshima ya wasanii wa filamu inarejea nchini, Chama cha Wasanii wa Filamu Tanzania, kimelazimika kutunga sheria ya kuwataka wasanii, maprodyuza na wapiga picha wote kujisajili kwenye chama hicho na mtu hatoruhusiwa kufanya kazi bila kujisajili. Akizungumza jana na MTANZANIA, Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Maprodyuza Tanzania, William Mtitu, alisema kuwa […]

Read More..