-->

Daily Archives: January 20, 2016

RJ Mbioni Kudondosha ‘Tajiri Mfupi’-Ray

Post Image

  Muigizaji mkongwe na mkurugenzi wa kampuni ya RJ inayojihusisha na utengenezaji wa filamu hapa bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ amedokeza kuwa kwa sasa kampuni hiyo ipo mbiyoni kuachika filamu yao mpya inayokwenda kwa jina la TAJIRI MFUPI. ‘Kampuni yako ya kizalendo nchini Tanzania RJ company (Best Quality Ever!) ipo mbioni kudondosha mzigo wa kufa mtu […]

Read More..

Picha: Riyama, Muhogo Mchungu na Kazi Mpya ...

Post Image

Staa wa bongo movies anayesifiwa kwa kuvaa uhusika kwenye kazi zake, Riyama Ally ameshare nasi picha hii kupitia ukurasa wke mtandaoni akiwa Kibaha na waigizaji wenzake ambapo riyama aliezega kuwa wapo kazina wafikanya kazi yake mpya.   “Riyamaally#Mkegani mke wa #kazibure damwan kazini wapendwa wangu #kibaha Kwa mfipa…..!!! #bi* damwan #kakamuhogomchungu @senatormsungu @barafusuleiman @mwanaher @cutyhassan […]

Read More..

Picha: Eneo la Kinondoni, Mkwajuni Lililoku...

Post Image

Hali halisi kama inavyoonekana eneo la Kinondoni, mkwajuni, jijini Dar ambalo wananchi wake walikumbwa na bomoa bomoa baada ya mvua kubwa kunyeesha usiku wa kuamkia leo. Cloudsfm.com

Read More..

Wadau Wataka Ofisi ya Bodi ya Filamu Iwe Ba...

Post Image

VIONGOZI wa vyama na mashirikisho mbalimbali ya sanaa wakishirikiana na wadau mbalimbali wameliomba Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kuipatia ofisi Bodi ya Filamu katika jengo la Baraza hilo ili kurahisisha utendaji wake. Pia viongozi hao wameliomba Baraza hilo lirudishe ofisi za mashirikisho ya vyama vya sanaa katika jengo lake ili vyama hivyo viwe na […]

Read More..

Bila Kujuana Bongo Kutoka ni Kazi- Mai

Post Image

MSANII chipukizi wa Filamu Bongo Maimuna Salum ‘Mai’ amefunguka kwa kusema kuwa wasanii chipukizi kupata nafasi za kuigiza ni mtihani kwani bila kujuana na Muongozaji au mtayarishaji inakuwa si rahisi kupewa nafasi kucheza nafasi kubwa japo katika malipo napo kuna changamoto zake. “Tunaipenda sanaa lakini kuna changamoto kubwa sana kwani kama hauna urafiki na Director […]

Read More..

Punguza Uzito Kwa Njia Salama na Njema Isiy...

Post Image

Mpaka leo mimi NELLY KWAMBIWA MACHENJE nimefaniwa kupunguza zaidi ya kilo 45. Nilikuwa na kilo 134 nilipoanza. Sasa ninafurahia kupunguza uzito kwa bidhaa nzuri na salama. Karibu upunguze uzito kwa ubora na afya ya hali ya juu. Hakuna kuhara wala kukonda. Kukonda na kuhara ni magonjwa, huku tunapunguza uzito na kuondoa manyamauzembe ukiwa unanawiri na […]

Read More..

Wema Sepetu Awafunda Wabunifu Chipukizi

Post Image

MISS Tanzania 2006, ambaye pia ni mwigizaji wa filamu za bongo, Wema Sepetu, amewataka wabunifu chipukizi wa mavazi na mitindo nchini walitumie vizuri jukwaa la mitindo la Lady In Red Fashion Show 2016, ili wafikie malengo waliyojiwekea. Wema alitoa rai hiyo alipokuwa akizungumza nao kuhusiana na onyesho litakalofanyika Januari 31, katika ukumbi wa Danken House, […]

Read More..