-->

Daily Archives: January 14, 2016

Nuh: Nimesikitishwa Sana Shilole Kufuta ‘...

Post Image

Shilole ameifuta ‘tattoo’ ya aliyekuwa mpenzi wake Nuh Mziwanda baada ya kuachana,lakini Nuh hajaifuta na hana mpango kwa sasa wa kuzifuta ‘tattoo’ hizo. ‘’Kiukweli nimesikitika sana hata kama tumeachana mimi mbona sijafuta tattoo zake na sina mpango wa kuzifuta kwa sasa,’’Alisema Nuh. Hata hivyo Shilole alipoulizwa kuhusiana na alichokisema Nuh alisema kuwa mbona Nuh aliwahi […]

Read More..

Tiffah Dangote Anawasumbua Wengi-Wolper

Post Image

Hapa na Pale: Staa wa Bongo movies, Jacqueline Woper ambaye siku za hivi karibuni ameonekana kuwa karibu na falimila ya staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz amefunguka hayo kupiytia ukurasa wke myandaone mara baada ya kubandika picha ya mtoto Tiffah. Tiffah Dangote..mtoto anawasumbua wengi huyu…!Naona mpk kuna wengine wanahisi wanalingana na Tiffah maana sio kwa […]

Read More..

Msanii wa filamu Omary Clayton Atembelea Ki...

Post Image

Msanii wa filamu Omary Clayton ‘Dogo Masai’ ametembelea kituo cha watoto yatima na kutoka msaada wa vitu mbali mbali kutokana na kuguswa kwake na watoto hao hivyo ameamua kugawana nao kidogo alichokipata kwenye filam yake ya ndugu wa mume  ambayo itaingia  sokoni kesho tarehe 15.01.2016 chini ya usambazaji wa Steps Entertainment. Filamu ya Ndugu wa […]

Read More..

Wastara: Sajuki Hakusema Nisiolewe,Ila Alio...

Post Image

Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma amefunga ndoa hivi karibuni na Mwenyekiti wa UVCCM na mbunge wa Donge, Sadifa Juma,ameolewa mke wa pili. ‘Ndoa haina ghafla unaweza ukapanga usiku asubuhi ukaolewa,sema tu wageni waalikwa hawakuwa wa kutosha,uzuri kwamba mke mwenzangu alikuwa ananijua kabla sijaolewa,sikutaka kuolewa na mwanaume kabla mkewe hajanijua na sijaolewa mke wa nne […]

Read More..

Wastara Ampa Masharti Magumu Bond

Post Image

Staa wa filamu Bongo, Wastara Juma amempa wakati mgumu aliyekuwa mwandani wake ambaye pia ni meneja wake, Bond Bin Suleiman kuwa kama bado anataka waendelee kufanya kazi pamoja asiendekeze wivu baada ya yeye kuolewa. Wastara aliyeolewa hivi karibuni na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Sadifa Khamis alisema kuwa ni ukweli […]

Read More..

Gabo Hana Mpango na Wahindi

Post Image

MKALI wa filamu hapa nchini, Gabo Zigamba, amedai kwamba anaweza kusambaza kazi zake mwenyewe bila ya kuwategemea Wahindi. Msanii huyo amedai kwamba filamu yake ya ‘Safari ya Gwalu’ alifanikiwa kuisambaza mwenyewe kupitia kampuni yake ya D Entertainment, hivyo hana ulazima wa kutegemea watu binafsi. “Nilikuwa kama najaribu kuisambaza kazi hiyo mimi mwenyewe, nimegundua kwamba inawezekana kwa kuwa nimeweza kusambaza Tanzania mzima kupitia […]

Read More..