-->

Daily Archives: January 10, 2016

Lazima Wawepo Wabaya wako Ili Uwajue Wazuri...

Post Image

Lazima Giza Liwepo Usiku na mwanga uwepo Mchana Ili tuweze kutofautisha Usiku Na Mchana Lazima wawepo Wanaokuchukia Ili uweze kuwajua wanaokupenda? Lazima Wawepo Wabaya wako Ili uwajue Wazuri wako….maana bila hao Wabaya hutoweza kutofautisha yupi ni yupi. Sio kwa watu tu hii ina apply kwenye vitu vingi tu tofauti..! Ili uweze kujua Positive Side ya […]

Read More..

Sitti:Chozi Langu Limenifidia

Post Image

SITTI Mtemvu, mrembo aliyeshinda taji la Miss Tanzania Mwaka 2014 lakini akavuliwa baada ya kubainika udanganyifu, amesema chozi lake alilomwaga siku za nyuma, limem-faidisha kwani hivi sasa anaishi kwa amani na furaha. Akizu-ngumza hivi karibuni jijini Dar, Sitti alisema alipata maumivu makali siku alipovuliwa taji hilo, lakini alijipa moyo huku akifarijiwa na watu wake wa […]

Read More..

Picha: Ukaribu wa Wema na Idris Wazua Gumzo...

Post Image

Mbali na ukweli kuwa Wema Sepetu na Idris Sultan ni marafiki tangu zamani, hali imekuwa tofauti kwa hivi sasa ambapo baadhi ya mashabikibi wamekuwa wakiutilia shaka ukaribu wao wakidai kuwa umevuka mipaka na kuwahisi kuwa ni wapenzi. Mbali na madai kuwa Idris amekuwa akiweka kambi nyumbani kwa wema, Posti za Wema Sepetu kwenye mtandao wa […]

Read More..

Picha 10 za Harusi ya Wastara na Mh Sadifa ...

Post Image

Msanii wa filamu, Wastara Juma Alhamisi ya wiki hii, alifunga ndoa na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha CCM (UVCCM) Taifa ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Donge, Sadifa Khamis Juma. Hizi ni baadhi ya picha za harusi hiyo.

Read More..

Gigy, Msanii Tekno Ukweli Waanikwa

Post Image

Siri imefichuka! Muuza nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ameibua gumzo baada ya ukweli kuanikwa kwamba alilala kwenye Hoteli ya Serena iliyopo Posta jijini Dar akijiachia na msanii kutoka Nigeria, Tekno Miles. Kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika, usiku wa kuamkia Ijumaa, mrembo huyo alionekana akijiachia na jamaa huyo […]

Read More..

Mafufu Kufungua Chuo cha Sanaa Baada ya Mie...

Post Image

MTAYARISHAJI na mwigizaji wa filamu Swahilihood Jimmy Mafufu anayegombea kuwa mwenyekiti wa TDFAA- Taifa amefunguka moja ya mambo muhimu ambayo yanachelewesha kuleta ukuaji wa tasnia ya filamu kwa ukosefu wa Vyuo na kwake ndio kipaumbele chake cha kwanza. Akiongea na FC Mafufu amesema kuwa kuna mambo mengi lakini kwake amegundua lazima elimu kwa kwanza kwa […]

Read More..