-->

Daily Archives: January 12, 2016

H-Baba Ajiita Baba wa Sanaa Tanzania

Post Image

Staa wa muziki H-Baba ametoa kauli ya kuwabeza wasanii wenzake, akieleza kuwa kwa sasa yupo kimya akiangalia mchezo kama baba mwenye nyumba ambaye akirejea, wasanii wengine kama wapangaji lazima waelewe juu ya uwepo wake. H-Baba ambaye majukumu ya kifamilia ambayo sasa ni makubwa si chanzo cha ukimya wake kwa mujibu wake, ameeleza kuwa nafasi yake […]

Read More..

Jennifer Mgendi, Mussa Banzi Wang’ang’a...

Post Image

Kanga foto! Staa wa sinema na nyimbo za Injili, Jennifer Mgendi na mwigizaji mwenzake, Mussa Banzi walijikuta waking’ang’aniwa na mashabiki wao ili wapige picha wakiwa lokesheni. Ishu nzima iliyoshuhudiwa na Ijumaa Wikienda ilijiri wikiendi iliyopita maeneo ya Ubungo-Makuburi, Dar ambapo wasanii hao wakiwa na wenzao walikuwa wakirekodi moja ya sinema za Mgendi inayokwenda kwa jina […]

Read More..

Picha: Lulu Asifiwa ‘Mitupio’

Post Image

Mrembo na staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael’Lulu’ amemwagiwa sifa mtandao kuwa ni moja ya mastaa wanao penda mitindo ‘Fashion’ kitu ambacho kinamfanya kuonekana mrembo zaidi kile leo. Tofauti na mastaa wengi wakike wa hapa bongo Lulu kupitia ukurasa wake wa Instagram amekuwa akitupia picha akiwa amevalia mitindo mbalimbali ya mavazi na nywele. Lulu amekuwa […]

Read More..

Nikipata Mwanamke Atakayeweza Kuziba Nafasi...

Post Image

Ingawa Shilole tayari amefunika tattoo aliyochora kifuani yenye jina la ex wake Nuh, kwa kuongeza mchoro wa ua juu yake baada ya wawili hao kuachana, Nuh Mziwanda amesema yeye bado hajaamua kufuta tattoo zake. Nuh ambaye alichora tattoo mbili, moja ikiwa na jina la Shishi Baby na nyingine ikiwa na sura ya Shishi amesema kuwa […]

Read More..

Faiza Ally Afungukia Mavazi Yake na Kushaur...

Post Image

Inawezekana kuvaa nguo fupi au bikini ni tatizo hasa ktk upande wa imani zetu kutokana na maamrisho ya vitabu. Lkn Lkn hakuna tatizo kubwa kuliko kumtangazia mtu sifa mbaya – unapo sema maneno mabaya unatengeneza sumu mbaya sana kwenye mioyo na fikra za watu…tofauti na yale mavazi maana akisha vaa anavua mwisho wa siku ni […]

Read More..

Mazito Yaibuka Ndoa Mpya ya Wastara

Post Image

Dar es Salaam: HAYA ni mazito! Nyuma ya shughuli ya kuolewa kwa staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma na Mbunge wa Jimbo la Donge, Zanzibar, Sadifa Juma iliyofungwa Alhamisi iliyopita, kuna matukio ya kustaajabisha ambayo Ijumaa Wikienda limeyabaini. Ndoa hiyo iliyofungwa kimyakimya, ilifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita nyumbani kwa mwigizaji huyo, Tabata-Barakuda, jijini Dar […]

Read More..