-->

Daily Archives: January 13, 2016

Mzee Majuto, Asha Boko na Mzee Majanga Waki...

Post Image

Wakali wa ‘comedy’ kwenye tasnia ya Bongo Movies, Mzee Majuto, Asha Boko na Mzee Majanga wamefanya kweli kwenye filamu yao mpya inayokwenda kwa jina la Pauka na Pakawa inayotarajiwa kutoka hivi karibuni ambapo unaambiwa “Zama za kale  Paka na Mbwa walipendana sana, hawakuona tofauti iliyopo kati yao. Na siku walipojuzwa tofauti zao, ndipo vita ikaibuka…” […]

Read More..

Dully Sykes Amgaragaza T.I.D

Post Image

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva nchini Abdul Sykes ‘Dully Sykes’, amemgaragaza Khalid Mohamed ‘T.I.D’ kwa idadi kubwa ya mashabiki wa muziki wao. Wasanii hao walishindanishwa katika kituo cha radio One ambapo walikuwa wanawashindanisha kwa ubora wa nyimbo zao huku mashabiki wa muziki huo wakipiga kura kumchagua mkali zaidi. Dully alifanikiwa kuibuka kidedea kwa kumzidi […]

Read More..

Maneno Matamu ya Uwoya kwa Mama Yake

Post Image

Leo ikiwa ni siku ya kuzaliwa ya mama yake mzazi, staa wa Bongo Movies Irene Uwoya amemuandikia maneno haya matamu kupitia ukurasa wake instagram. My mom my world. ..u kept me in ur prayers night and day. ..I wish to return my gratitude in more ways than I can say. ..mom lov is the most […]

Read More..

Wastara: Mimi na Mke Mwenza Shega Tu

Post Image

Picha ya pamoja Wastara sajuki akiwa na mke mwenzie. Wastara akiwa na mke mkubwa baaada ya harusi.. Adai watu msiumize kichwa mke mkubwa kampokea vizuri kwa mikono miwili na wanajuana na kuheshimiana. By Amavubi on JF

Read More..

Chuchu Hans Akanusha Kuachana na Ray

Post Image

Msanii wa filamu nchini, Chuchu Hans amesema bado yupo kwenye uhusiano wa kimapenzi na Vicent Kigosi aka Ray licha ya hivi karibuni baadhi ya watu kudai wawili hao hawapo tena pamoja.   Akizungumza katika kipindi cha Take One cha Clouds TV Jumanne hii, Chuchu alisema toka aanze kutoka kimapenzi na staa huyo mengi yamezushwa juu […]

Read More..

Ndoa ya Wastara Bond Nusu Afe!

Post Image

DAR ES SALAAM: Zikiwa zimepita siku chache tangu staa wa filamu, Wastara Juma kufunga ndoa na Mbunge wa Jimbo la Donge,  Zanzibar, Sadifa Juma aliyekuwa mpenzi wake, Bond Suleiman nusu afe, Risasi Mchanganyiko lina mkanda kamili. Wakizungumza na gazeti hili, ndugu wa karibu wa kijana huyo ambaye pia ni muigizaji (jina linahifadhiwa) alisema siku moja […]

Read More..

Rose Ndauka Hajali Nyumba Yao Kuvunjwa

Post Image

WAKATI mamia ya wakazi wa Dar es Salaam waishio mabondeni na pembezoni mwa bahari na mito wakihaha nyumba zao kuvunjwa, staa wa filamu Bongo, Rose Ndauka amesema hajali kama nyumba yao itakutwa na bomoabomoa hiyo. Badala yake, alimpongeza Rais John Magufuli kwa kusimamia zoezi hilo, kwani wengi wa wanaobomolewa walishapewa taarifa mapema na hawakutii agizo […]

Read More..