-->

Daily Archives: January 24, 2016

Davina Amtolea Uvivu Mwandishi wa Stori Hi...

Post Image

Kufuatia gazeti moja la udaku kuandika stori ya uongo juu yake, Staa wa Bongo Movies, Halima Yahaya ‘Davina’ amemtolea uvivu muandishi wa stori hiyo kupitia ukurasa wake mtandaoni. Hivi nyie waandishi wengne hv kwann hamnaga utu lini nimeongea na wewe lini? zuwenanyembo na ktk story umeandika nimekutaja mpk jina me nakujua ww? Wkt mwingne mnasemaga […]

Read More..

Rose Muhando Ang’atwa na Nyoka

Post Image

DAR ES SALAAM! MAJARIBU! Staa anayefanya vizuri kwenye Muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando yupo hoi kitandani baada ya kung’atwa na nyoka. Chanzo makini kililiambia gazeti hili kwamba Rose akiwa anaingia getini usiku wa kuamkia Jumatano iliyopita, nyumbani kwake mkoani Dodoma aling’atwa na nyoka mguuni na kukimbizwa hospitali iliyopo Area C mkoani humo. “Maskini Rose […]

Read More..

Baada ya Kusugua Benchi Miaka Mitano, Nora...

Post Image

STAA aliyekuwa akitingisha kwa wasanii Bongo kutoka Kundi la Kaole, Nuru Nassoro ‘Nora’ amefunguka kuwa Mungu amemuona baada ya kukaa benchi kwa takriban miaka mitano bila kurekodi sinema. Akizungumza na Ubuyu wa Town, Nora alisema alikuwa ameshakata tamaa lakini anaishukuru Kampuni ya Didas Entertainment ambayo imemthamini na kumrudisha tena kwenye gemu. “Watu waliniona mimi sifai […]

Read More..