-->

Daily Archives: January 26, 2016

Pale Mwalimu Alipobambwa Kona Aikwa na ‘D...

Post Image

Short Video Clip Movie: Kiboko Kabisa Genre:  Bongo Movie- Comedy Production: Nisha Production Cast: Mzee Majuto, Ben,  Nisha, Jada, Neema wa 20%, Hemedy Chande Writer: Lamata Leah Director: Lamata Leah Release date:  29 January 2016 Distributor: Step Entertainment

Read More..

Faiza Atumia Njia Hii Kumfikishia Ujumbe Ba...

Post Image

Staa wa Bongo Movies, Faiza Ally ambaye ni mzazi mwenzie na Mh Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ameamua kutumia mtandao wa instagram kumfikishia ujumbe mzazi mwezie kuhusu matunzo ya mtoto kwa madai kuwa kwa sasa hawana mawasiliano. Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao huo, Faiza aliweka video ya mtoto wao Sasha akimuomba hela baba yake (Sugu) yakusukia nyewele […]

Read More..

Sipendi ‘Scenes’ za Kushikwa Sh...

Post Image

Msanii mkongwe wa filamu, Halima Yahya maarufu kama Davina, amesema katika maisha yake ya sanaa ya uigizaji hapendi scenes za mapenzi hasa hasa zile zinazomtaka aonekane akishikwa shikwa kitandani. Muigizaji huyo ambaye ni mama wa watoto watatu, amekiambia kipindi cha Papaso cha TBC FM kuwa scenes hizo humpatia wakati mgumu wakati anapopewa ili avae uhusika. […]

Read More..

Huyu Ndiye Gabo Zigamba Mjukuu wa Mzee Kiye...

Post Image

UNAPOSIKIA jina la Gabo Zigamba si jina geni katika tasnia ya filamu , Gabo amejizolea umaarufu katika tasnia ya filamu baada ya kufanya vizuri na kuwachanganya wapenzi wa filamu Bongo, wengi wakiamini kuwa ni kijana wa Kimachinga kutoka Kusini kumbe ni Mdigo na Mhehe. Jina halisi la msanii huyu ni Salim Ahmed Issa akisema hilo […]

Read More..

Zari: Wakiniita ‘Bi Kizee’ Huwa Najiang...

Post Image

Zari amekuwa akitupiwa maneno mengi ya kashfa kupitia mtandao wa ‘Instagram’ hasa kuhusu suala la umri wake kuwa ni mkubwa kuliko mpenzi wake Diamond. ‘’Naona kwenye Instagram wakiniita mie mzee,lakini nitafanyeje,lakini nikijiangalia kwenye kioo najiona mrembo sana,’’Alisema Zari.

Read More..

Wema Aanza Mazoezi ya Kulea Mtoto

Post Image

Habari ya mjini kwa sasa ni ujauzito wa Wema Isaac Sepetu ambapo inadaiwa kuwa ameanza mazoezi ya kumlea mtoto wake mtarajiwa. Kwa mujibu wa shosti wake wa karibu, kwa sasa Wema ameongeza urafiki kwa akina mama wenye watoto wachanga ili kuchukua ‘maujuzi’ ya namna ya kuwa mama bora kwa mwanaye mtarajiwa. “Yaani ukitaka kujua Madam […]

Read More..