-->

Daily Archives: January 27, 2016

Kiboko Kabisa: Behind the Scene 1 (Video Cl...

Post Image

Behind the Scene (1) Movie: Kiboko Kabisa Genre:  Bongo Movie Comedy Production: Nisha Production Cast: Mzee Majuto, Nisha, Jada, Neema wa 20%, Hemedy Chande Writer: Lamata Leah Director: Lamata Leah Release date:  29 January 2016 Distributor: Step Entertainment

Read More..

Bongo Movie Ina Kufa, Ni Swali Ninalokutana...

Post Image

Kuna swali nakutana nalo kila siku, bongo movie ina kufa. nataka niwaambie. ..bongo movie inapita katika kipindi ambacho tasnia zingine zilipita. ..kipindi ambacho hutokea baada ya kutamba kwa muda watu hutaka kuona vitu vipya. ..kama waliokuwepo wakishindwa kuleta ubunifu mpya basi wao watakufa kisanii na watu wapya watateka soko. ..llakini tasnia haitakufa. ..angalia katika b,fleva […]

Read More..

Sina Mahusiano na Nisha – Baraka da Prince

Post Image

Msanii Baraka da Prince amekanusha vikali kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msanii Salma jabu au Nisha, kama tetesi zilivyozagaa mitandaoni. Baraka da Prince amefunguka hilo kwa mara ya kwanza ndani ya Planet Bongo ya East Africa Radio, na kusema kuwa msanii huyo ni rafiki yake wa kawaida tu. “Mi siko kwenye mahusiano na sijawa […]

Read More..

Wastara: Nakuja Kivingine

Post Image

MSANII wa filamu Wastara Juma ambaye hivi sasa anapata matibabu ya mguu wake nchini India, amedai akirejea nchini, atakuja kivingine katika kazi zake za uigizaji. Akizungumza kwa njia ya simu akiwa huko, Wastara alisema anam shukuru Mungu kwani anaendelea vizuri na matibabu, lakini akawaahidi mashabiki wake vitu vipya kwani safari yake huko imemuo ngezea ubunifu. […]

Read More..