-->

Daily Archives: January 31, 2016

Dotnata, Pacha Wake Majanga

Post Image

Staa mkongwe kwenye sinema za Bongo, Illuminata Poshi ‘Dotnata’ akiingizwa kwenye gari la wagonjwa. DAR ES SALAAM: Staa mkongwe kwenye sinema za Bongo, Illuminata Poshi ‘Dotnata’ na pacha wake, Dometria Alphonce wapo hoi kufuatia mmoja kuanguka bafuni na kuvunjika mfupa wa mguu, mwingine kuvamiwa na majambazi. Chanzo makini kililiambia gazeti hili juzi kuwa, Dotnata aliteleza […]

Read More..

Filamu ya Kibonge Mtata Kutikisa Mtaa Jumat...

Post Image

KAMPUNI ya Splash Entertainment inatarajia kuachia filamu kali na ya kusisimua jumatatu wiki ijayo tarehe 01.February .2016 ijulikana nayo kwa jina la Kibonge mtata kazi ambayo msemaji wa kampuni hiyo Steve Selengia anasema itakuwa mwanzo mzuri katika kufungua mwaka huu. “Tumejipanga katika kuhakikisha kuwa sinema yetu ya Kibonge Mtata inamfikia kila mdau wa kazi za […]

Read More..

Chopa la Doria Wanyamapori Latunguliwa, Rub...

Post Image

Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe akitembelea eneo la tukio.Hali ilivyokuwa eneo la tukio. Watu wanaodaiwa kuwa ni majangili na wawindaji haramu wameitungua kwa risasi helkopta ya doria ya wanyamapori katika pori la akiba la Maswa lililoko Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu, Kusini mwa hifadhi ya taifa ya Serengeti na kumuua rubani wa […]

Read More..

Diamond Platnumz Kazinyakua Tuzo Nyingine K...

Post Image

Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amezidi kuziandika headline katika ulimwengu wa sanaa baada ya usiku wa leo kuzinyakua tuzo mbili za Hipipo Awards zilizofanyika Uganda. Ushindi alioupata ni Nyimbo bora Afrika Mashariki na Video bora Afrika Mashariki ambazo zote ni kupitia wimbo wa Nana. Baada ya ushindi kupitia account yake ya Instagram Diamond aliandika […]

Read More..