-->

Daily Archives: April 8, 2017

Nilijua Leo Tungeambiwa Roma Amepatikana &#...

Post Image

Msanii Mrisho Mpoto leo asubuhi na mapema alikwenda Kituo Kikuu cha Polisi (Central) ili kufuatilia sakata la kutekwa kwa msanii Roma Mkatoliki, Moni Centrozone na wenzao wengine wawili akiwepo producer Binladen pamoja na Emma. Mrisho Mpoto anasema alikwenda leo asubuhi na mapema akiwa na matarajio kuwa huenda polisi leo wangeweza kuwapa taarifa kuwa wasanii hao […]

Read More..

Chonde Chonde Mzee Wangu Gwajima-Diamond

Post Image

Diamond Platinumz amejikuta katika wakati mgumu baada ya kumtaja askofu Joseph Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima kwenye wimbo wake mpya wa “Acha Nikae Kimya”, kitendo ambacho kimepelekea askofu Gwajima kuandika mtandaoni kuwa atajibu mapigo kwenye siku ya kesho jumapili.   “Kesho Ibada itakuwa LIVE on YOUTUBE kuanzia saa nne na nusu, kutoka Kanisa […]

Read More..

Kama Siyo Harmonize, Harmorapa Angekuwa Wap...

Post Image

UKIMSIKILIZA kwa makini msanii Rajab Ibrahim ‘Harmonize’ kutoka Lebo ya Wasafi Classic Baby ‘WCB’, kisha Nasibu Abdul ‘Diamond’ ni kama unamsikiliza mtu mmoja tu – Diamond. Harmonize ameshindwa kabisa kutafuta identity yake. Ni kweli anajua kuimba, anajitahidi kuvaa na kuishi kisanii, lakini ndani yake anaonekana Diamond. Niseme ukweli kuwa lebo aliyopo ni sahihi na ndiyo […]

Read More..

VIDEO: Roma Aongeza kwa Mara ya Kwanza Tang...

Post Image

Msanii wa Bongofleva Roma Mkatoliki na wenzake watatu wamerudi uraiani baada ya kuripotiwa kutekwa April 5 2017 na kupelekwa kusikojulikana, baada ya kurudi uraiani ameyaongea kwenye hii video hapa chini. MillardAyo

Read More..

Video: Nay wa Mitego Afunguka Haya Muda Mch...

Post Image

Msanii wa muziki wa hip hop, Nay wa Mitego ni mmoja kati ya wasanii waliofika hapa Oysterbay polisi jijini Dar es salaam kumsubiria rafiki yake Roma Mkatoliki ambaye anahojiwa na jeshi la polisi muda mchache baada ya kupatikana. Rappa huyo alitekwa Alhamisi iliyopita akiwa studio pamoja na wenzake watatu. Akiongea na Bongo5 jioni hii akiwa […]

Read More..

Ray Kigosi Amvaa Wema Sepetu Sakata la Roma

Post Image

Msanii wa filamu nchini Ray Kigosi amefunguka na kusema tukio la kupotea kwa Roma isiwe sababu ya kutakatisha uchafu wa mtu. Ray Kigosi ameonyesha kuguswa na kile alichosema Wema Sepetu kuwa baadhi ya wasanii wa filamu wao suala la Roma hawaoni kama linawagusa. Ndipo hapo Ray alipofunguka na kumtaka Wema asiwagombanishe na wananchi. “Nafikiri ni […]

Read More..