-->

Daily Archives: April 25, 2017

Wolper Acharukia Wasanii Wenzake

Post Image

Dar es Salaam: Staa mwenye kiwango cha juu Bongo Muvi, Jacqueline Wolper Massawe amefunguka kuwa, wasanii wengi waliopo kwenye tasnia ya filamu ni wanafiki na wanafuata mkumbo, hawako kiuhalisia.   Akizungumza na Showbiz, wakati wa maandamano ya kupinga wizi wa kazi zao na uingizwaji na uuzwaji holela wa sinema za nje, Wolper alisema kuwa, wasanii […]

Read More..

Video: Jux – Umenikamata

Post Image

Msanii Jux ameachia video mpya wimbo unaitwa ‘umenikamata‘ tazama hapa chini.

Read More..

Siasa Imechangia Kutuua Bongo Movie-Steve N...

Post Image

Mchekeshaji maarufu nchini Steven Nyerere amekiri kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio kuwa waigizaji kujiingiza kwenye siasa pia ni chanzo cha tasnia ya filamu nchini kupoteza mvuto. Steve amefunguka hayo ikiwa ni siku chache tangu kufanyika maandamano ya baadhi ya wasanii wa filamu kuishinikiza serikali kuwaondolea kodi katika filamu zao au kuhakikisha inakusanya pia […]

Read More..

Diamond Atoboa Sababu ya Kufanyakazi na You...

Post Image

Diamond amefunguka kwa mara ya kwanza sababu za kumshirikisha Young Killer katika wimbo wake mpya ambao bado haujatoka. Ni mara nyingi hitmaker huyo wa Marry You, ameonekana kushindwa kuzizuia hisia zake za kumkubali Msodoki huku mara kadhaa akionekana kutumia mistari ya rapper huyo katika kuandika katika mitandao yake ya kijamii. Akiongea na kipindi cha XXL […]

Read More..

CUF Lipumba Yakiri Aliyekatwa Kisigino ni M...

Post Image

Dar es Salaam. Chama cha Wananchi CUF kimekiri kuwa mtu aliyekatwa kisigino katika vurugu zilitokea Jumamosi iliyopita ni mlinzi wa chama hicho. Akizungumza leo Mkurugenzi wa Habari wa CUF,Abdul Kambaya amesema mlinzi huyo na wenzake walikwenda Mabibo kwa ajili ya kufanya doria. Amesema mlinzi huyo Rashid Mtawa alikatwa mapanga na wafuasi wa chama hicho wanaounga […]

Read More..

Nay wa Mitego Akubali Yaishe Aomba Msamaha

Post Image

Baada ya kuporomoshewa maneno ya kashfa kwenye mitandao na mzazi mwenzake kwa kushindwa kumtunza mtoto zaidi ya kumuweka tuu kwenye mitandao ya kijamii na kujisifu, Nay wa mitego amekiri kubadilika na kuanza kumuhudumia binti yake. Nay wa Miteho leo Rapa kupitia ukurasa wake wa Instagram ameamua kuudhihirishia umma kuwa kuanzia sasa atakuwa baba mwema na ataanza kuwahudumia watoto […]

Read More..