-->

Daily Archives: April 12, 2017

Askofu Gwajima Afutiwa Kesi ya Kumtolea Man...

Post Image

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemwachia huru Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima katika kesi ya kutoa lugha ya matusi dhidi ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo. Gwajima ameachiwa huru leo baada ya mahakama kuifuta kesi hiyo kwa sababu upande wa Jamhuri […]

Read More..

VIDEO:Waziri Mwakyembe Atoa Sababu za Kuwep...

Post Image

Mbunge wa Chemba, Juma Nkamia, Jumanne hii alipata nafasi ya kusimama bungeni Dodoma ambapo alielezea kushangazwa na kitendo cha Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe kuwepo kwenye mkutano wa waandishi wa habari na rapper Roma aliyetekwa hivi karibuni na watu wasiojulikana. Hatimaye Dkt Mwakyembe, Jumatano hii amesimama bungeni kujibu hoja hiyo. “Nianze […]

Read More..

Witnesz Kibonge Mwepesi – Mzuka (Ofic...

Post Image

Msanii Witnesz ameachia video mpya wimbo unaitwa “Mzuka”, video imeongwa na kampuni ya Dreams Studio.

Read More..

NDANI YA BOKSI: Shoo ya Milioni 10, Shingon...

Post Image

Hasira. Inatia hasira. Kuchukuliana poa poa maisha haya. Jay Z ni mtoto wa maskini tu, aliyelelewa na mama. Atake asitake ni mtoto wa maskini. Aliyekulia sehemu za kipumbavu. Kipuuzi na kila aina ya ushenzi. Wendawazimu uliotopea. Ila binti yake Blue Ivy, atabaki kuwa mtoto wa tajiri na atakufa akijulikana kama mtoto wa tajiri. Jay Z […]

Read More..

Sakata la Roma, Davina Amuunga Mkono Wema

Post Image

BAADA ya supastaa wa filamu Wema Sepetu kuwashutumu wenzake wa Bongo Muvi kwa kutosapoti harakati za kupiga kelele kufuatia kupotea kwa Mwanamuziki wa Hip Hop, Ibrahimu Mussa ‘R.O.M.A’ kwa siku tatu na kusababisha kutoleana maneno makali mtandaoni na muigizaji mwenzake Vincent Kigosi ‘Ray’, Halima Yahya ‘Davina’ amemuunga mkono mrembo huyo wa zamani wa Tanzania akisema […]

Read More..

VIDEO: Mbunge Ali Kessy Amshambulia Roma Mk...

Post Image

Mbunge wa Nkasi Kaskazini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ali Mohamed Keissy amefunguka na kusema wasanii ambao wanaandika nyimbo za kumtukana na kumkashfu Rais Magufuli wanapaswa kupata kibano zaidi ili waache tabia hiyo. Mbunge huyo amesema hayo leo bungeni na kusema angeaachiwa yeye dakika mbili tu wangeona ni nini angewafanya, hivyo kuendelea kuwatetea […]

Read More..

Tunda Afunguka Kuhusu Maisha Yake Baada ya ...

Post Image

Mrembo  maarufu aliyependezesha video ya ‘Furaha’ ya Young D, Tunda 76 amedai kutajwa kwake kwenye orodha ya wanaohusika na dawa za kulevya kumempa changamoto ya kuaminika nyumbani kwa wazazi wake.   Tunda amezungumza hayo leo kwenye eNewz ya EATV na kusema kuwa tangu kutajwa kwenye wahusika wa matumizi ya madawa imemfanya kubadilisha mpaka mfumo wa […]

Read More..