-->

Daily Archives: April 7, 2017

VIDEO:RC Makonda Atoa Ahadi Hii Kuhusu Roma...

Post Image

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda, wameahidi Roma Mkatoliki, Moni pamoja na wengine wawili kupatikana Jumapili hii baada ya wasanii hao kutekwa na watu wasiojulikana Jumatano hii wakiwa Tongwe Record. Alisema hayo akiwa nyumbani kwake Masaki jijini Dar es salaam, muda mchache baada ya kutembelewa na wasanii ambao walimtaka mkuu huyo kuwasaidia […]

Read More..

Wanatumia Ndumba Kunipoteza – Sam wa Ukweli

Post Image

Msanii Sam wa ukweli ametuma salam kwa wasanii wenzake wanaomfanyia fitina kwa kutumia ndumba asirudi kwenye muziki waache kwani tayari ameshawafahamu na kuwataka wasiogope yeye kurudi kwenye ‘game’ kwani kila mtu ana riziki yake. Akifunguka kwenye eNewz ya EATV, Sam wa Ukweli anayetamba na ‘hit’ ya Kisiki amedai kuwa amepewa taarifa na baadhi ya watu kuwa wasanii wenzake […]

Read More..

Video: Nay wa Mitego – Wapo

Post Image

Msanii Nay wa Mitego ameachia video yake mpya ya wimbo unaitwa “Wapo”, video imeongozwa na Khalfani Khalmandro, tazama hapa chini alafu toa komenti yako.

Read More..

VIDEO:Wasanii Huu ni Wakati wa Kupendana-Jo...

Post Image

STAA wa filamu nchini, Blandina Chagula ‘Johari’ amesema kuwa kwa sasa wasanii wa maigizo wanapaswa kushikamana na kuondoa tofauti zao. Johari ameyasema hayo leo wakati akipiga stori na mwandishi wetu akiwa katika Makaburi ya Kinondoni kwa ajili ya sala fupi ya kumwombea aliyekuwa staa wa filamu Bongo, Steven Charles Kanumba aliyefariki siku kama ya leo […]

Read More..

Steve:Tumuenzi Kanumba kwa Vitendo

Post Image

MSANII wa maigizo na vichekesho nchini, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema kuwa, wasanii wa tasnia ya filamu wanapaswa kumuenzi kwa vitendo aliyekuwa staa wa filamu Bongo, Steven Charles Kanumba ambaye leo ametimiza miaka mitano tangu kifo chake. Steve alisema hayo leo wakati alipoungana na baadhi ya wasanii wa Bongo Movies kufanya ibada fupi ya kumuombea […]

Read More..

Roma Hashikiliwi na Polisi – Serikali

Post Image

Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, sanaa na Michezo imesema imepokea kwa mshtuko taarifa za kutoweka kwa Mwanamuziki Ibrahim Mussa kwa jina la kisanii “Roma Mkatoliki”  tangu tarehe 5 Aprili 2017. Katika taarifa yake iliyotolewa jioni ya leo na kusainiwa na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa wizara Zawadi Msalla, amesema kuwa wizara hiyo […]

Read More..