-->

Daily Archives: April 11, 2017

Ndoa ya Lulu, Dj Majizo Yanukia

Post Image

BAADA ya kuwa kimya kwa muda mrefu, staa wa filamu mwenye vituko vingi, Elizabeth Michael ‘Lulu’, ameibuka na kuweka wazi kwamba yupo mbioni kukamilisha maandalizi ya ndoa yake na mmiliki wa Redio EFM, Francis Shiza ‘Dj Majizo’. Lulu, ambaye hivi karibuni alidaiwa kuachana na mpenzi wake huyo wa muda mrefu, aliliambia MTANZANIA kwamba taarifa hizo […]

Read More..

Mwenyekiti wa Freemanson Azikwa kwa Kuchomw...

Post Image

Dar es Salaam. Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Freemason Afrika Mashariki, Sir Jayantilal Keshavji Chande maarufu kama Andy Chande, umeteketezwa leo Kijitonyama, jijini Dar es Salaam kupitia tukio lililodumu kwa takribani saa moja. Mwili huo umeteketezwa kwa moto kupitia ibaada iliyofanyika kwenye nyumba maalumu inayotumika kama sehemu ya maziko ya waumini wa dini ya Hindu. […]

Read More..

AUDIO:Bashe Awataka Wabunge Kuacha Unafiki

Post Image

Dodoma.Mbunge wa Nzega Mjini(CCM) Hussein Bashe amewataka wabunge kuacha unafiki kuhusu usalama kuwateka watu na kwamba yeye ni mmoja wa watu waliokamatwa wakati wa mkutano Mkuu wa CCM. Hivyo amesema kama wanataka wamfukuze CCM. Bashe alikuja juu baada Waziri wa Tamisemi, George Simbachawene kumtaka Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kuthibitisha kuwa matukio ya ukamataji […]

Read More..

East Coast Team Haitarudi Tena – Mwana FA

Post Image

Msanii wa ‘HipHop’ Bongo Mwana FA amefunguka na kusema kundi la East Coast Team halitaweza kurudi tena katika mambo ya muziki tofauti na taarifa za awali za kurejea upya kwa kundi hilo. FA ameuweka wazi ukweli huo akiwa kwenye kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio kwa  kusema itakuwa vigumu kurudisha kundi hilo tena katika ulingo wa muziki […]

Read More..

Water Chilambo Aomba Nyimbo Zake za Bongo F...

Post Image

Aliyekuwa mshindi wa BSS Water Chilambo amesema anaomba TV na Radio kuacha kupiga nyimbo zake za bongo fleva kwa sasa na wamsapoti kwenye muziki wa Gospel ambao anaufanya. Akipiga story kupitia eNewz Chilambo amesema wametokea wasanii wengi pamoja na waandaaji wa muziki kumuita ili waweze kufanya kolabo ya nyimbo ya bongo fleva lakini aliwakatalia hali iliyowapelekea wengine […]

Read More..