-->

Daily Archives: April 18, 2017

Sitoki na Mwigizaji Yoyote Bongo Movie- Rac...

Post Image

MSANII wa filamu Bongo Rachel Bitulo amefunguka kwa kusema kuwa hana mahusiano na mwigizaji yoyote kwani yeye ana mchumba wake ambaye wanapenda sana hivyo hawezi kuwa uhusiano na msanii wa filamu awe mkubwa au mdogo hata usumbufu uvumi huo unakuja baada picha moja kurushwa mtandaoni. Picha hiyo alikuwa na mwigizaji mwezake Stanley Msungu maarufu kama […]

Read More..

VIDEO:Upendo Nkone amuangukia JPM akiomba u...

Post Image

Mwanamuziki wa injili, Upendo Nkone amesema yuko tayari kutumikia nafasi ya ubunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania endapo  Rais Magufuli atamteua. Akiwa katika kipindi cha Kikaangoni cha EATV, Upendo alisema, anaamini ametumwa na Mungu kufikisha ujumbe wake kupitia uimbaji, lakini pia yuko tayari kuitumikia jamii kupitia nafasi ya ubunge, na kuweka wazi […]

Read More..

Kamati ya Bunge Kujadili Usalama wa Nchi -V...

Post Image

Dodoma. Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama leo mchana itakutana ili kujadili masuala ya kiusalama ikiwamo ya kuuawa kwa polisi na raia nchini.   Spika wa Bunge, Job Ndugai ameyasema hay oleo baada ya kipindi cha maswali na majibu alipokuwa akijibu muongozo wa Mbunge wa Bukombe, (CCM) Dotto Bitteko. Polisi wanane […]

Read More..

Mfuko wa Maendeleo ya Sanaa Kuwanufaisha Wa...

Post Image

Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema ipo katika mchakato wa kuanzisha ‘Mfuko wa Maendeleo ya Sanaa’ ambao utakuwa unawasaidia wasanii kuinua kipato chao. Hayo yamebainishwa leo Bungeni na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Annastazia Wambura alipokuwa akijibu swali lililoulizwa na Mbunge wa Kinondoni, Maulid Said Mtulia wakati alipotaka kujua mipango ya […]

Read More..

Lulu Akanusha Taarifa za Ndoa

Post Image

Muigizaji Elizabeth Michael (Lulu) akana kutoa taarifa za ndoa yake.   Hivi karibuni magazeti ya Mtanzania na Mwananchi yaliobnekana kufanya mahojiano na mrembo huyo na kuripoti kuwa ndoa yake na mpenzi wake Fransic Shiza maarufu kama Majay ambaye pia ni bosi wa EFM na TVE inakaribia. Kupitia mtandao wa Twitter, Lulu amekanusha taarifa hizo kwa […]

Read More..