-->

Daily Archives: April 29, 2017

Sipangiwi Wala Sifundishwi cha Kuongea R...

Post Image

Msanii wa Bongo fleva Nay wa Mitego amefunguka mapya na kusema yeye hana muda wa kupoteza wa kupigana na msanii wa bongo ‘movie’ Yusuph Mlela huku akijitapa kuwa hapangiwi wala hafundishwi jambo analotaka kuongea. Nay ameeleza hayo baada ya kuambiwa na Mlela ajiheshimu na asiingilie kazi za watu ambazo hazimuhusu huku akisisitiza kwamba kama angekuwa anaimba basi […]

Read More..

Kajala Kajala Aanika Mwanaume wa Kumuoa

Post Image

MUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja, amefunguka kuwa, endapo ataolewa tena, basi kigezo cha kwanza cha huyo mtarajiwa wake kitakuwa ni kudekezwa. Kajala ambaye aliolewa kisha ndoa yake kupata matatizo na mumewe kufungwa gerezani na hivi karibuni kuachiwa, alisema endapo itatokea ameolewa kwa mara nyingine basi kigezo cha huyo mwanaume ni lazima awe anayejua […]

Read More..

Wababe wa Game Wamerudi!

Post Image

WASANII wenye uwezo mkubwa katika tasnia ya filamu za Kibongo nchini wamerejea mzigoni. Hapa nawazungumzia Jimmy Mponda ‘J Plus’ na Sebastian Mwanangulo ‘Insp. Seba’.   Mseto wa J Plus a.k.a Jimmy Master na Seba ni wa aina yake. Ni wasanii wanaocheza sinema za mapigano na kwa hakika kwa namna wanavyoweza kuwasiliana wanapokuwa nyuma ya kamera, […]

Read More..

Kutoka na Mzee Siwezi-Shilole

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva Shiloe alimaarufu kama Shishi Baby amefunguka na kuwataka wanaume ambao wanategemea wanawake kuvalishwa, kulishwa wabadilike na kuanza kufanya kazi ili wasitegemee tena wanawake kuendesha maisha yao. Shilole anasema wanaume ambao wanapenda kutunzwa na wanawake ni wanaume sanamu, maana wanaume makini hawawezi kutegemea kulelewa na wanawake. “Haya mambo hayatakiwi kuwepo, […]

Read More..