-->

Daily Archives: April 16, 2017

P Funk Amuonya Master J Kuhusu Harmorapa

Post Image

Mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini P Funk Majani amemuonya mkongwe mwenzake katika game, Master J kutomsema vibaya kwa kumsapoti msanii Harmorapa kwa madai kuwa msanii huyo hana kipaji. P Funk pia amemkumbusha Master J jambo na kumwambia kuwa hata alipoanza kumtengeneza Juma Nature majungu na maneno yalikuwa mengi lakini alitusua na kuwa msanii mkubwa nchini. […]

Read More..

Rais Magufuli Ashiriki Ibada ya Pasaka, Awa...

Post Image

Dar es Salaam. Rais John Magufuli leo ameshiriki ibada ya Pasaka katika kanisa la Mtakatifu Petro na kuwashukuru wakristo na waumini wa madhehebu mengine nchini kwa kuendelea kumuombea. Pia Rais aliwaomba waumini hao waendelee na maombi hayo ili nchi iendelee kuwa na amani, umoja, mshikamano na watu wanaochapa kazi. Taarifa iliyoletwa na Kurugenzi ya Mawasiliano […]

Read More..

Sakata la Filamu za Nje: Makonda Amueleza H...

Post Image

Jumamosi hii Rais John Pombe Magufuli alikuwa katika uzinduzi wa mabweni ya Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) ambapo Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alipata fursa ya kuzungumzia mambo mbalimbali yanayoendelea ndani ya mkoa wake na kuzungumzia ishu ya operesheni yake mpya ya kupiga vita filamu za nje ambazo hazilipi […]

Read More..