-->

Daily Archives: April 10, 2017

Aunty Fifii Amkumbuka Kanumba, Akiwachana W...

Post Image

IJUMAA iliyopita ilitimia miaka mitano kamili tangu Steven Kanumba alipofariki dunia ghafla na kuleta majonzi nchini nzima, lakini huwezi kuamini ni wasanii wachache wa tasnia hiyo waliweza kufanya kumbukumbu yake. Jambo hilo limemkera mno mwingizaji mkongwe aliye pia mtunzi na mtayarishaji, Tumaini Bigilimana ‘Aunty Fifi’ ambaye aliongoza ibada ya kumbukumbu ya kifo cha Kanumba sambamba […]

Read More..

Wema, Mafufu Warushiana Maneno!

Post Image

NYOTA wa filamu nchini, Wema Sepetu na Jimmy Mafufu, wameingia kwenye katika bifu kiasi cha kufikia kurushiana maneno kupitia kitandao ya kijamii. Wema siku chache zilizopita aliandika maneno katika ukurasa wake wa Instagram kuwa kuna baadhi ya wasanii wa Bongo Movie ni wanafki na wanaacha kuposti ishu ya kupotea kwa mwimbaji Roma badala yake wao […]

Read More..

VIDEO:Bashe, Sugu Wataka Bunge Lijalidi Ute...

Post Image

Dodoma. Wabunge wawili wa CCM na Chadema wametaka Bunge liahirishne shughuli zake mara moja na kutoa nafasi kwa wabunge kujadili suala la utekwaji wa raia nchini. Wabunge hao ni Hussein Bashe(Nzega Mjini) na Joseph Mbilinyi(Mbeya Mjini)wameomba mwongozo wa Spika kuhusu suala hilo leo asubuhi. Bashe amesema ni muhimu suala hilo likajadiliwa kwani iko orodha ya […]

Read More..

Harmorapa, Bahati Haiji Mara Mbili!

Post Image

ATHUMANI Omary ambaye Sasa ni gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii na magazeti kama Harmorapa, ni msanii ambaye amekuja na bahati ambayo wengi wameshindwa kuipata, hata baada ya miaka kadhaa ya kuhangaikia jina kwenye Muziki wa Kizazi Kipya. Wapo wanaoamini katika bahati na wengine wanajaribu kumhusisha meneja wake, Irene kuwa ndiye aliye nyuma ya matukio […]

Read More..

Ben Paul: Wanaume Msikatae Mimba

Post Image

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Benard Paul ‘Ben Pol’, amewataka wanaume wakware kutokutaa mimba kwa sababu kufanya hivyo wanasababisha vifo vya watoto wasio na hatia. Ben Pol alisema wasichana wengi wanatoa mimba kutokana na kukataliwa na wanaume wanaowapa mimba hizo. “Kuitwa baba ni raha sana jamani watoto ni sehemu kubwa ya faraja, mimi kila […]

Read More..

VIDEO:Roma asimulia Walivyotekwa

Post Image

Msanii Roma Mkatoliki amesimulia kilichomkuta siku ya Jumatano wiki iliyopita huku akieleza kusikitishwa na maneno yanaayoenezwa kuwa yeye na wenzake wamepewa pesa na viongozi wa kisiasa kwa ajili ya kutengeneza ‘kiki’ kwa maslahi yao binafsi. Akizungumza leo na wanahabari ikiwa ni siku ya pili baada ya kuachiwa huru baada ya kutekwa kwa takriban siku tatu, […]

Read More..