-->

Daily Archives: April 20, 2017

Mwili wa Mbunge wa Chadema Wawasili -VIDEO

Post Image

Dar es Salaam.Naibu spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Tulia Ackson leo Alhamisi ameongoza mapokezi ya mwili Mbunge wa viti maalumu (Chadema) Dk Elly Macha. Dk Macha alifariki dunia Machi 31 mwaka huu katika Hospitali ya New Cross, Wolverhampton nchini Uingereza alikokuwa akitibiwa. Baadhi ya viongozi waliokuwepo wakati mwili huo ukiwasili, […]

Read More..

Yusuph Mlela Amfungukia Nay wa Mitego

Post Image

Msanii wa filamu nchini Yusuph Mlela amemtusi rapa Nay wa Mitego kwa kile anachodai kuwa msanii huyo anapotosha jamii juu ya maandamano waliofanya baadhi ya wasanii  wa filamu nchini. Yusuph Mlela ambaye kwenye post yake ameonekana kushindwa kutumia lugha ya staha huku akionesha kutokwa na povu jingi kutokana na mapokeo ya mashabiki wa filamu ambao […]

Read More..

Idris Sultan Atokwa Povu Ukaribu wa Wema, G...

Post Image

MSANII wa komedi Bongo na mshindi wa shindano la Big Brother Afrika 2015, Idris Sultan, ‘Dokta Mwaka’ ametokwa povu baada ya kuona picha za Wema Sepetu na Gabo Zigamba staa wa filamu Tanzania. Idris alichapisha katika ukurasa wa Instagram akihoji mazingira ya picha ile kutaka kujua eneo lile ni wapi. Mashabiki wa Wema mtandaoni wanafasiri […]

Read More..

Lord Eyes Afungukia Mambo Yanayoua Makundi,...

Post Image

Kupitia kipindi cha XXL cha April 20 2017 rapa ambaye alitamba na Nako 2 Nako na WEUSI kutoka Arusha, Lord Eyes ameelezea sababu za kutokuwa karibu na WEUSI akisema waliungana bila mkataba kwa sababu za kimuziki na kutanua wigo wa msanii. Pamoja na hayo Lord amesema WEUSI ni kampuni na kundi ingawa kumekuwa na utengano, […]

Read More..

Huu Ndiyo Ushauri wa Harmorapa kwa JPM

Post Image

Msanii Harmorapa ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake ‘Kiboko ya mabishoo’ amefunguka na kutoa ushauri kwa Rais Magufuli juu ya mambo ambayo angependa kuona Rais anayafanyia kazi. Harmorapa akiwa kwenye kipindi cha Kikaangoni kinachofanyika kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV kila siku ya Jumatano kuanzia saa nane mpaka saa kumi jioni ameshauri Rais Magufuli […]

Read More..