-->

Daily Archives: August 19, 2017

This is Too Much Chid Benz Ongea na Nafsi Y...

Post Image

Muziki ulimpa umaarufu kuliko matukio aliyoyafanya nje ya sanaa lakini Chid Benz yule wa mwaka 2009 siyo huyu wa 2017. Amekuwa binadamu anayesikitisha watu kuliko kuwaburudisha, bila shaka mama yake mzazi anasikia uchungu akiutazama mwenendo mbaya wa mama yake. Machi 22 mwaka jana,Babu Tale na Kalapina walifanikiwa kumfikisha, Chid Benz kwenye kituo cha Life and […]

Read More..

New Video: Rostam (Roma & Stamina) –...

Post Image

Roma na Stamina kupitia umoja wao ‘Rostam’ ameachia video ya ngoma yao mpya ‘Hivi Ama Vile’, video imeongozwa na Nicklass, audio ni Mr. T Touch.

Read More..

Alikiba kupiga tatu

Post Image

Msanii Alikiba ambaye yupo kimya kwa muda mrefu ameamua kukata kiu ya mashabiki wake na kumaliza hasira zao kwa kushusha ngoma tatu mfululizo pindi atakaporejea Tanzania kutokea nchini Marekani alipokwenda kwa ajili ya kufanya show. Siku mbili zilizopita Alikiba kupitia mitandao yake ya kijamii alianza kuweka post ambayo ilionyesha ni ishara ya ujio wake mpya […]

Read More..

Kilio chetu kimesikika- JB

Post Image

Muigizaji mkongwe nchini Jacob Stephen ‘JB amefunguka na kudai wamepata mkombozi katika usambazaji wa kazi zao za filamu huku akiwataka mashabiki zake kukaa mkao wa kula wa kupokea kazi mpya kutoka kwake baada ya kukaa kimya kipindi kirefu. JB amebainisha hayo wakati akizungumza na mashabiki zake kupitia ukurasa wake wa ‘Instagram Live’ na kusema baada […]

Read More..

Soma Hapa Magazeti ya leo August 19, 2017

Post Image

  Chanzo:millardayo.com

Read More..