-->

Daily Archives: August 28, 2017

Wema Awacharukia Ali Kiba, Diamond

Post Image

MREMBO wa Bongo, aliye pia mwigizaji Wema Sepetu amewatolea povu waimbaji wa Bongofleva, Diamond na Ali Kiba kwa kuwaita ‘Wendawazimu’ na kuwataka wakue. Wema alizungumza hayo wakati wa uzinduzi wa muvi yake katika ukumbi wa Mlimani City juzi, akisema waimbaji hao wanampa ugumu kwani anapenda kazi za Kiba na kazi za Diamond, lakini amachukizwa na […]

Read More..

Msanii nguli wa filamu wa Marekani atua Ser...

Post Image

Arusha. Msanii wa filamu maarufu duniani na raia wa Marekani, Cynthia Rothrock, maarufu Lady Dragon, ametua kutalii katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Cynthia aliyewahi kushinda tuzo tano za filamu duniani kupitia filamu zake za mapigano, amefikia katika hoteli ya Grumeti Serengeti inayomilikiwa na bilionea wa Marekani, Paul Tudor. Msanii huyo ambaye ameigiza zaidi ya […]

Read More..

Aunt Ezekiel Afungukia Ukimya Wake

Post Image

Muigizaji mahiri kutoka bongo, Aunty Ezekel amekiri kuwa suala la yeye kuingia kwenye suala zima la malezi ndiyo chanzo cha ukimya wake na kubainisha kuwa kwani kipindi hicho ndiyo wakati ule mauzo ya soko la filamu yaliporomoka nchini. Akizungumza kwenye zulia jekundu mapema wiki hii katika uzinduzi wa filamu ya muigizaji mwenzake Wema Sepetu, Aunt amesema hakuwa […]

Read More..

Ukiwa Staa Unatafuta Marafiki wa Faida – ...

Post Image

NYOTA wa filamu Bongo Salim Ahmed ‘Gabo Zigamba’ amesema kuwa kwa mtu anayetazama mbele kila hatua anayopiga ili asonge mbele lazima abadilishe marafiki kufikia ndoto zake na kama itatokea mtu akabaki na kuendelea na marafiki wa awali hatofanikiwa katika harakati zake. “Kuna wakati watu wengi hukosea kuishi kwa mazoea unaweza kusikia kuwa Gabo alikuwa rafiki […]

Read More..

Ali Kiba Atupa Jiwe Gizani Kisa Watoto Wake

Post Image

STAA anayekimbiza na Wimbo wa Seduce Me, Ali Kiba Saleh ‘King Kiba’ ametupa jiwe gizani kwa kusema, hana tabia ya kutelekeza watoto kama mmoja wa wasanii wa Bongo Fleva anavyofanya. Kiba ambaye wiki iliyopita alikuwa nchini Marekani kikazi, alifungukahayo alipokuwa akipiga stori mbili tatu na Ijumaa Wikienda kuhusiana na maisha yake ya kimuziki. Kiba alisema […]

Read More..

Idris Sultan Amvulia Kofia Joti

Post Image

Mchekeshaji na Muigizaji maarufu nchini Tanzania, Idris Sultan ameweka wazi kwa kuwambia mashabiki wake waache kumfananisha na mchekeshaji mkongwe, Joti kwani kufanya hivyo ni kumvunjia heshima yake. Idris Sultan amesema amekuwa akisikia minong’ono kutoka kwa wadau wa burudani wakimfananisha na Joti kitu ambacho yeye binafsi hakipendi kwani hadi kufikia hapa alipo ni kutokana na kujifunza […]

Read More..

Latifa Ilimtuliza Mwenye Kichaa – Mb Dog

Post Image

Msanii Mb Dog amesema kwamba wimbo wake wa Latifa ulimpa historia kubwa kwenye maisha yake, ikiwemo kumtuliza mwanamke ambaye alikuwa na kichaa cha mimba. Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Mb Dog amesema wakati ametoa wimbo huo na kufanikiwa kufanya vizuri, alienda Mwanza kwenye show na kukutana na mzee mmoja ambaye alimfuata akimuomba […]

Read More..