-->

Daily Archives: August 16, 2017

Mzee Majuto Atangaza Tena Kuacha Sanaa (Vid...

Post Image

Mchekeshaji na Muigizaji maarufu wa filamu nchini Tanzania, Alhaji Amri Athumani almaarufu Mzee Majuto ametangaza rasmi kustaafu kazi hiyo baada ya kuitumikia kwa zaidi ya ,miaka 30. Mzee Majuto amesema amechukua maamuzi hayo baada ya kuona umri unaenda na uwingi wa changamoto wa kazi hiyo hivyo ameamua arudi kwenye kilimo na kumtumikia Mungu. “Kwa sasa […]

Read More..

Napenda Kuwafunika kwa Pamba-Lulu

Post Image

MWIGIZAJI, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka na kudai kuwa, hakuna kitu anachopenda kama kutupia viwalo na kwamba, kila kunapokuwa na hafla ni lazima avunje kabati. Lulu alisema sio kwenye sherehe tu, bali hata katika kazi zake za filamu anapenda kutupia kwa sababu anapenda kuvaa na kuonekana tofauti kila mara ikiwa ni furaha yake. “Mi napenda kupendeza […]

Read More..

Madee amkataa Wolper kucheza video yake mpy...

Post Image

Msanii Madee Ali ‘Madee’ kutoka kundi la Tip Top Connection amefunguka kuwa anashangazwa na uvumi wa msanii mwenzake, Jackline Wolper kwa kudai kuwa ametumika katika video mpya ya msanii huyo ya ‘Sikila’ bila ruhusa yake. “Ile video haijamuonyesha mtu sura zaidi ya kuwa na katuni hivyo nashangaa kusikia hivyo, kikubwa ni kuwa hajatumika yeye bali […]

Read More..

Hiki Ndicho Kilichosababisha Jina Kabula Ku...

Post Image

Msanii wa muziki Issabela Mpanda ambaye ni rafiki wa Karibu wa Mariam Jorwa au jini Kabula ambaye hivi karibuni amepata matatizo ya kurukwa na akili, ameweka wazi kilichomsababishia shoga yake huyo kuchanganyikiwa. Akizungumza na mwandishi wa eatv, Issabela amesema daktari ambaye anamtibia Kabula amesema kuwa rafiki yao alikuwa na msongo wa mawazo, lakini kwa sasa […]

Read More..

Wema Kashaamua, Sasa ni Kazi tu!

Post Image

SUPASTAA wa Bongo Movie, Wema Sepetu ‘Madame’, ameamua bwana baada ya kuweka bayana kwamba sasa amezama kisawasawa kwenye filamu ili kukata kiu ya mashabiki wake. Mrembo huyo amesema kuwa kila uchao amekuwa akipokea maoni toka kwa mashabiki, wakihoji ukimya wake kwenye sanaa na amewajibu kuwa watulie wasiwe na kokoro kwani, mambo matamu yanakuja na watakata […]

Read More..

Dokii Atoa Onyo Hili kwa wa Bongo

Post Image

Msanii Dokii amewataka Watanzania waache kumfuatilia maisha yake, kwani maisha yake hayawahusu hata kidogo, hususani kwa kipindi hiki ambacho ameamua kuokoka. Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Dokii amesema yeye hajali watu wanachokisema juu yake, kwani anachoangalia yeye ni yale anayoyafanya kwa Mungu wake, hivyo watu wasipoteze muda kabisa kumuongelea. “Wasiwe busy na […]

Read More..

Soma Hapa Magazeti ya Leo Jumatano, August ...

Post Image

Chanzo:millardayo.com

Read More..