-->

Daily Archives: August 31, 2017

Mahakama Yakataa Vielelezo Kuhusu Kesi ya W...

Post Image

Mahakama ya hakimu mkaazi Kisutu Jijini Dar es salaam imekataa kupokea vielelezo vya ushahidi wa msokoto na vipisi viwili vya bangi vilivyotolewa na upande wa mashtaka katika kesi inayomkabili Wema na wenzake. Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba alisema Mahakama haiwezi kupokea vielelezo hivyo kwa sababu vina kasoro “Nakubaliana na hoja kwamba msokoto wa bangi na […]

Read More..

Msisikilize Maneno ya Watu-Chid Benz (Video...

Post Image

Rapa Chid Benz ambaye sasa anafanya poa na wimbo wake ‘Muda’ akiwa ameshirikiana na mkongwe Q Chillah amefunguka na kuwataka mashabiki wake kutosikiliza maneno ya watu na kudai wapinzani wake wamekuwa wakimuongelea vibaya kwa lengo la kumchafua. Chid Benz anasema muda mwingine kwenye maisha yake ya kila siku amekuwa ni mtu wa utani sana kiasi […]

Read More..

Wolper: Nikiangalia Picha Hii Nalia Kabisa

Post Image

Msanii wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper ameguswa na tatizo la ukosefu wa ajira ambalo vijana wengi wanakumbana nalo kwa sasa. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Wolper ameweka picha ya vijana waliojitokeza jana katika usaili wa kazi TRA na kuandika ujumbe mrefu akieleza namna alivyoguswa; Nikiangalia picha kama hizi naumiaga sana nanilivyo na machozi ya karibu basi […]

Read More..

Alikiba Amzungumzia Chid Benz na Sakata la ...

Post Image

Msanii Alikiba amejitosa kwenye suala la dawa za kulevya kwa kumtetea aliyekuwa swahiba wake Chid Benz kwa kusema anapofungwa mtumiaji wa dawa za kulevya ni kumtesa bali anapaswa kupelekwa katika vituo vya afya ili aweze kupatiwa tiba mbadala. Alikiba ameeleza hayo baada ya Chid Benz kukamatwa na dawa za kulevya hivi karibuni na Jeshi la […]

Read More..

Magazeti ya Leo August 31

Post Image

  Chanzo:millardayo.com

Read More..