-->

Daily Archives: August 29, 2017

Alikiba, Diamond, Lulu, Millard Ayo Watajwa...

Post Image

Mastaa wa Bongo Fleva kutoka Tanzania, Alikiba na Diamond Platnumz wametajwa kwenye orodha ya vijana 100 waliochini ya miaka 40 wenye ushawishi zaidi barani Africa kwa mwaka 2017. Kwenye orodha hiyo iliyotolewa leo na mtandao wa African Youth Awards imemtaja pia muigizaji wa filamu nchini Tanzania mrembo Elizabeth ‘Lulu’ Michael na mwanamitindo Flaviana Matata na mwana habari […]

Read More..

Young Dee Aomba Radhi Kuhusu Picha ya Utupu

Post Image

Rapper Young Dee amewaomba radhi mashabiki wake kutokana na picha ya utupu iliyosambaa leo mitandaoni , akiwa na Amber Lulu ambaye ndiye aliyekaa utupu. Kwenye ukurasa wake wa Instagram Young Dee ameandika kwamba picha hiyo imevujishwa na watu wasiojulikana, ambayo ilikuwa na lengo la tangazo la nguo. “Nasikitishwa kwa picha inayosambaa mitandaoni.. imevuja bila ridhaa […]

Read More..

Nisha Awatolea Uvivu Walioponda Shepu Yeka

Post Image

Msanii wa filamu za kibongo Nisha bebe amewawakia mashabiki wanaomsema vibaya kwamba hana shepu, na kusema kuwa wasimlazimishe kuishi maisha feki. Kwenye ukurasa wake wa Instagram Nisha ameandika ujumbe mrefu akionyesha kushangazwa na watu hao, huku akisema kwamba kuwa na shepu kwake sio kitu cha msingi, la muhimu ni akili ambazo amepewa na Mungu. “Halafu […]

Read More..

Jux Aendelea Kumng’ang’ania V Money

Post Image

LICHA ya ‘couple’ ya mastaa Vanessa Mdee ‘V Money’ na Juma Mussa ‘Juma Jux’ kufikia mwisho, Jux ameibuka na kusisitiza kuwa, atendelea kuwa karibu na mwanadada huyo kwa kuwa bado anampenda. Jux alisema ni kweli wameachana, baada ya kushindwa kufikia mwafaka wa tatizo lao, lakini wataendelea kuwa karibu kutokana na ustaa wao na urafiki. Akizungumza […]

Read More..

Mkojo wa Masogange Gumzo Mahakamani

Post Image

MAHAKAMA ya Hakimu Mkasi Kisutu ilipokea ripoti ya uchunguzi wa sampuli ya mkojo ya Msanii Masogange kutoka kwa Mkemia Elias Mulima kwenda kwa ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali kama kielelezo. Uamuzi huo ulitolewa jana na Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri baada ya mawakili wa Masogange, Nehemia Nkoko na Ruben Simwanza, kupinga mahakama isipokee ripoti […]

Read More..

Simuogopi Simba- Alikiba

Post Image

Msanii Alikiba ambaye ni shabiki  wa klabu ya Yanga, amesema haiogopi wala kuihofia timu ya Simba hata kama wameanza vizuri kwa kugawa kichapo katika mechi za awali Ligi Kuu huku akidai mpira unadunda na muda wowote Simba itapotea. Alikiba ameeleza hayo muda mchache alipomaliza mahojiano kwenye kipindi cha Planet Bongo kutoka East Africa Radio akiwa ameongozana na mtayarishaji wake […]

Read More..

Magazeti ya leo Jumanne August 29, 2017

Post Image

Chanzo Millardayo.com

Read More..