-->

Monthly Archives: November 2017

Mawakili wa Lulu wajipanga kukata rufaa

Post Image

Dar es Salaam. Muda mfupi baada ya Mahakama Kuu kumuhukumu msanii wa fani ya uigizaji filamu nchini, Elizabeth Michael kifungo cha miaka miwili jela, msanii huyo alianza mapambano upya kuhakikisha anarejea tena uraiani kwa njia ya dhamana na rufaa. Jaji Sam Rumanyika alimhukumu adhabu hiyo msanii huyo baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua […]

Read More..

Baada ya Hukumu Lulu, Mama Kanumba Afunguka

Post Image

Mama wa Muigizaji Marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amefunguka na kusema kwamba leo atakwenda makaburi ya kinondonni alipoziikwa mwanaye ili kwenda kumzika upya.   Mama Kanumba ametoa kauli hiyo muda mfupi baada ya Mahakama Kuu kumhukumu kifungo cha miaka miwili Muigizaji Elizabeth Michael ambaye alikuwa mtuhumiwa katika kesi ya mauaji bila kukusudia yaliyopelekea kifo cha […]

Read More..

Tunda Afungukia Mimba ya Mbongo Fleva

Post Image

BAADA ya habari kuzagaa kwamba mrembo anayeuza nyago kwenye video mbalimbali Bongo, Tunda Sebastian kuwa na ujauzito wa staa wa Bongo Fleva, ameibuka na kufungukia ishu hiyo. Akizungumza na Star Mix, Tunda alisema hana ujauzito wa msanii huyo kama watu wasemavyo na kwamba huwa anamuweka katika mitandao ya kijamii husan Instagram kwa sababu ya kumsapoti […]

Read More..

Msondo Yamdai Mamilioni Diamond

Post Image

WIMBO wa Zilipendwa ulioimbwa na waimbaji wa WCB na kujipatia umaarufu mkubwa, umeiponza lebo hiyo baada ya bendi kongwe ya muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma kudai fidia Sh300 milioni. Msondo inalalamikia kitendo cha WCB kutumia sehemu ya kazi yao katika wimbo huo uliimbwa na wasanii Harmonize, Diamond, Maromboso, Rich Mavoko, Lavalava, Queen Darleen na […]

Read More..

Wema Sepetu apata pigo

Post Image

Serikali kupitia mamlaka zake imezifungia rangi za midomo zinazozalishwa na Mwanadada aliyewahi kuwa Miss Tanzania na Muigizaji wa Filamu, Wema Sepetu. Rangi hizo zinajulikana kwa jina la “Kiss”.   Kwa mujibu wa taarifa ya Mamlaka ya Chakula na Dawa(TFDA) pamoja na Shirika la Viwango Nchini(TBS) wamebaini kuwa rangi hizo hazina ubora kwa matumizi ya binadamu. […]

Read More..

Mume wa Uwoya azungumzia machungu ya ukaper...

Post Image

Mwamuziki wa muziki wa Bongo Fleva, Dogo Janja ameibuka na kusema kuwa, kabla ya kutokuwa maarufu alikuwa ni muhuni, mtukutu na mwenye kiburi. Dogo Janja amesema, kwa dunia hii ya sasa angekuwa jela au hata marehemu kwani wenzake wengine wamepigwa mawe mpaka kufa kwa sababu ya utukutu, unyang’anyi na matukio kama hayo. Aidha ameongeza kuwa, […]

Read More..

Kufeli kwa Baraka Mkono wa Mtu Wahusishwa

Post Image

Msanii Baraka The Prince amemlaumu meneja wake wa zamani chini ya RockStar 4000 Seven Mosha pamoja na mpiga picha maarufu Mx Carter, kuwa ndio wanaohusika na kufelisha kazi yake mpya YouTube. Baraka ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye eNewz ya East Africa Television, na kusema kwamba watu hao wawili ndio walikuwa na ‘access’ ya acount yake […]

Read More..

Hussein Machozi Nusura Azikwe Hai

Post Image

Msanii wa Bongo Fleva ambaye aliwahi kucheza soka kabla ya kuanza kung’ara kupitia nyimbo zake za Full Shangwe, Utaipenda, Kafia Gheto na nyingine, Hussein Machozi naye yaliwahi kumkuta makubwa. Mbali na muziki, lakini ni mmoja kati ya wasanii ambao wana vipaji vya kucheza soka. Machozi anafunguka kuhusiana na tukio ambalo hatalisahau katika maisha yake: “Kuna […]

Read More..

Kisa cha Koletha Kumwacha Mwanaye

Post Image

STAA wa filamu aliyeshinda shindano la kusaka vipaji vya sauti lililoendeshwa na Kampuni ya Star Times, Koletha Raymond atamuacha mwanaye aliyejifungua hivi karibuni mwenye umri wa miezi nane kufuatia kupata kazi nchini China. Akipiga stori na Za Motomoto News, Koletha ambaye alishika namba moja kwenye shindano hilo alisema baada ya kushinda pamoja na wengine wana […]

Read More..

Queen Darleen Afichua Kinachoibeba WCB

Post Image

MWANADADA pekee kutoka kundi la WCB, Mwajuma Abdul ‘Queen Darling’, amesema kundi hilo limekuwa likifanya vizuri kutokana na umoja na nidhamu waliyojiwekea. Akizungumza na MTANZANIA, Queen Darling ambaye ni dada wa kiongozi wa lebo hiyo ya Diamond Plutnumz, amesema wasanii wa kundi hilo kila mtu anaelewa dhumuni la kuwepo hapo na ndio maana hawajawahi kutetereka […]

Read More..

Ray Kigosi Afunguka Kutokuwa na Wivu kwa Ir...

Post Image

Msanii Vicent Kigosi maarufu kama Ray ambaye ndiye aliyemfungulia milango ya kuingia kwenye sanaa muigizaji Irene Uwoya, amesema hawezi kuwa na wivu kwa kuolewa na Dogo Janja. Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio, Ray amesema yeye alianza kumuona Irene kabla ya Dogo Janja, lakini hakuvutiwa kumuoa, hivyo hawezi kuwa na hisia […]

Read More..

Wanawake wa Bongo Wanalazamisha Ndoa –...

Post Image

Msanii Dudu Baya amesema wanawake wa Tanzania wana kawaida ya kulazimisha ndoa, hasa wanapopata ujauzito hata kama ni kwa bahati mbaya. Dudu Baya ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye Planet Bongo ya East africa Television, na kusema kwamba jambo hilo haliingii akilini kwani walipokutana hawakukubaliana kuona. “Mimi mwanamke wangu ni bapa, wanawake wa kitanzania ukishampa mimba ndo kashalazimisha ndoa, […]

Read More..

Mama ni Kila Kitu Kwangu- Riyama

Post Image

MUIGIZAJI wa filamu wa kike Bongo Riyama Ali anasema kuwa mama yake ni ndio kila kitu katika maisha yake na hata mwanaye anamulelea kwa kumfundisha kuheshimu wazazi, huku akijaribu kumpa miongozo bora kama mzazi anayependa familia yenye malezi bora kwa watoto na jamii nzima kwa ujumla wake. “Wapo baadhi ya wanadamu ambao hutamani wafanane na […]

Read More..

Nawal Afuta Tattoo ya Nuh Mziwanda!

Post Image

Ni utamaduni wa mastaa wa Bongo, mara tu wanapoanzisha uhusiano na kukolea kwenye penzi jipya, kujichora tattoo ya jina la mpenzi huyo lakini dhoruba inapolipitia penzi lao, hutafuta kila njia za kufuta tattoo hiyo. Hili limejidhihirisha kwa aliyekuwa mke wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda, anayefahamika kwa jina la Nawal, ambaye kwa sasa amefuta […]

Read More..

Shamsa Ford Atupa Dongo Bongo Movie

Post Image

Msanii wa filamu nchini Shamsa Ford amewaponda baadhi ya wasanii wa Bongo movie na kusema ukosefu wa elimu kati yao chanzo kikubwa tasnia hiyo kushindwa kuendelea na kupiga hatua kubwa na kudai wamekalia umbea, chuki, ushirikina na roho mbaya. Shamsa Ford amesema hayo kupitia mtandao wake wa Instagram na kudai kuwa anatamani muda ungekuwa unarudi […]

Read More..

Irene Uwoya Afungukia Ndoa Yake

Post Image

IKIWA hali ya sintofahamu imeendelea kutanda kuhusu ndoa ya msanii wa Bongo Fleva, Dogo Janja ‘Janjaroo’ na mwigizaji, Irene Uwoya, picha za shughuli yao zimezidi kusambaa. Uwoya, ambaye alishiriki Miss Tanzania 2006, amekuwa akituma picha hizo za harusi katika mitandao ya kijamii na mumewe, Janjaroo kujibu. Hali hiyo imekuwa gumzo mitaani huku wengi wakishindwa kupata […]

Read More..

Ukweli Kuhusu Ndoa ya Uwoya, Dogo Janja

Post Image

SASA ni wazi kuwa sanaa yetu hapa Bongo haiwezi kwenda bila kiki. Ni kiki kila kukicha. Lesso utasikia msanii huyu kafanya vile, kesho mwingine ameibuka na lake. Ni kama wanashindana. Imeonekana kama kazi kutolewa bila kianzio cha kiki huenda isiwe na matokeo mazuri sokoni. Hata hivyo kwa upande wangu, napingana na hilo. Naamini katika kazi […]

Read More..

Kajala Amfanyia Kufuru Kassim Mganga

Post Image

HUKU watu mbalimbali wakiwemo maarufu nchini wakilia kuwa, hali ya uchumi siyo nzuri ‘vyuma vimekaza’, mwanadada anayefanya vizuri kwenye ulimwengu wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ hivi karibuni ameibua gumzo baada ya kumfanyia kufuru Kassim Mganga ambaye ni staa wa muziki wa Bongo Fleva. Kufuru aliyoifanya Kajala ni ya kummwagia minoti Kassimu alipokuwa akitumbuiza […]

Read More..