-->

Daily Archives: December 28, 2017

Huu Ndiyo Utajiri wa Ebitoke

Post Image

Msanii wa vichekesho hapa bongo Ebitoke, amesema kazi anayoifanya ya kuchekesha imempa mafanikio makubwa kwa muda mfupi, ikiwemo kumiliki mali zake mwenyewe. Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Ebitoke amesema kupitia sanaa hiyo ameweza kumiliki nyumba yake mwenyewe pamoja na gari ya kutembelea. “Hii kazi ninayofanya imenipa mafanikio sana, ingawa watu wananiona mpaka […]

Read More..

Flora Mvungi Atiwa Mbaroni

Post Image

Majanga ya Krismasi! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia muigizaji Flora Mvungi kujikuta mikononi mwa polisi alipokuwa akisherehekea sikukuu hiyo. Mrembo huyo alipata majanga hayo akiwa na wenzake wakipata ‘masanga’ kwenye baa moja iliyopo jirani na Kituo cha Polisi cha Urafiki na ndipo askari waliokuwa doria walipowakamata na kuondoka nao hadi kituoni hapo. Awali, askari mmoja alifika […]

Read More..

Pastor Myamba Anatoa Mapepo Kanisani Kwake ...

Post Image

HISTORIA ya tasnia ya filamu imekuwa ikiendana na uhalisia wa waigizaji katika kujenga uhusika na kuwa ndio maisha halisi, ukiona muigizaji anaigiza mtu wa kaleti itakuwa hivyo, hilo linajitokeza kwa Emmanuel Myamba ‘Pastor Myamba’ ambaye naye kwa sasa pamoja na kumiliki chuo cha Sanaa sasa anamiliki kanisa lake Kigamboni. “Naamini kuigiza ni sehemu pia ya […]

Read More..