-->

Daily Archives: December 29, 2017

Ndoto Imetimia, Hatimaye Wolper Kufunga Ndo...

Post Image

BAADA ya kupitia misukosuko mingi katika mahusiano ya kimapenzi, malkia wa fashion na mkali wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper huenda akafunga ndoa hivi karibuni mara baada ya kuanika mipango yake ya kwenda kumtambulisha mpenzi wake kwa wazazi. Japo hajataja jina, Wolper ameeleza kuwa mpenzi wake huyo ameridhia suala hilo kwani naye pia alikuwa akilihitaji […]

Read More..

Kumbe Wema Mbwembwe Tu!

Post Image

MASHABIKI wa mwanadada mwenye mvuto wa kipekee Bongo, Wema Sepetu, kazi anayo. Mashabiki wake wamemjia juu baada ya kauli yake kwamba mwaka mpya utakuwa wa mafanikio kwake. Wema ambaye ni Miss Tanzania wa mwaka 2006 na pia mwigizaji wa filamu za Bongo Movie, amenangwa vikali na mashabiki hao katika mitandao ya kijamii wakisema wamechoshwa na […]

Read More..

VideoMpya : Enock Bella wa Yamoto ameiachia...

Post Image

Msanii wa Bongofleva aliyekuwa anaunda kundi la Yamoto Band Enock Bella leo December 29 2017 ameachia video ya single yake ya pili baada ya kuanza kufanya kazi kama solo artist, bonyeza PLAY kuitazama inaitwa ‘Nitazoea’

Read More..

Wolper Kaanza Kusakamwa Tena Jamani

Post Image

WANADAMU hawana dogo kwani wameanza kumsakama nyota wa filamu nchini, Jacqueline Wolper, wakidai amerudia tabia ya kuvaa mavazi ya kiume ambayo yanawakera na badala yake kumtaka avae magauni marefu kwani ndio yanayompendeza. Wolper ameonekana katika maeneo tofauti akiwa amevalia mavazi hayo ya kiume tofauti na magauni yake marefu ambayo alikuwa akitoka nayo. Mashabiki wake hao […]

Read More..