-->

Daily Archives: December 12, 2017

Shamsa Ford Awatolea Uvivu Wasioolewa

Post Image

Msanii wa filamu nchini Shamsa Ford amefunguka na kuwachana baadhi ya wasanii wa kike na watu maarufu ambao hawataki kuolewa au wanasubiri waje kuolewa na watu wenye fedha zao na kudai kuwa watasubiri sana mpaka sura zao ziote sugu. Shamsa Ford amesema hayo wakati akimpongeza msanii Shilole baada ya kuolewa “Hongera sana mamy. Umefanya maamuzi […]

Read More..

Dude Atoboa Siri ya Maisha Yake

Post Image

KULWA Kikumba ‘Dude’ ametoboa siri ya maisha yake kuwa, tangu ajitambue hajawahi kuugua hadi kulazwa pia kupelekwa nyuma ya nondo kwa kosa lolote lile. Dude alizungumza na Full Shangwe na kusema anamshukuru Mungu kwa kumlinda kwa mambo hayo mawili katika maisha yake. “Tangu nimejitambua sijawahi kuugua hadi nikalazwa wodini au kupelekwa nyuma ya nondo kwa […]

Read More..

Shilole Atoboa Siri ya Kuolewa Kimya Kimya

Post Image

Msanii Zuwena Mohamed, maarufu kama Shilole amesema kilichomfanya afunge ndoa kimya kimya ni kutokana na ushauri alioupata  kutoka kwa Maustadhi kuwa siku ya ndoa ina mambo mengi na ‘husda’ nyingi, ndio maana alifunga ndoa kimya kimya. Shilole alitoa ahadi kuwa atafunga ndoa  kabla ya mwaka huu kuisha na kuwahaidi  mashabiki wake kuwa atawatangazia siku ya ndoa yake lakini […]

Read More..

New Video: Mafikizolo ft. Yemi Alade – Of...

Post Image

Kutoka katika albamu ya ’20’kundi la Mafikizolo linaloundwa na vijana wawili Theo Kgosinkwe na Nhlanhla Nciza wameachia video ya ngoma yao iitwayo ‘Ofana Nawe’ ambayo inayopatikana katika albamu hiyo. Wimbo huo wamemshirikisha Yemi Alade kutoka Nigeria.

Read More..