Dudu Baya Amuomba Radhi Shetta
Msanii Dudu baya ambaye alikuwa na ugomvi na msanii mwenzake Sheta, na kumtolea maneno machafu kwenye kipande cha video kilichosambaa kwenye mitandao ya kijamii, amemuomba msamaha msanii huyo na kumtaka kuwe na amani kati yao. Kwenye ukurasa wake wa instagram Dudu Baya amepost picha ya Sheta huku akiandika ujumbe mrefu wa kumuomba radhi msanii huyo. […]
Read More..





