Sitamtambulisha Mpenzi Wangu Tena – Nisha
Msanii machachari wa bongo movie Nisha Bebe amesema hatorudia kosa la kumtambulisha mpenzi wake kwa sasa bali atamtambulisha mume wake akiwa tayari. Akiongea kupitia eNewz ya EATV, Nisha amesema “Sirudii makosa kwa sasa hivi wasitarajie kumsikia mpenzi wangu wala kumtambulisha kwa jamii mtu nitakaye kuja kumtambulisha ni mume wangu ambaye tayari nishampata ila tunachunguzana tabia kwanza kwa sasa” aliongea Nisha […]
Read More..





