Tunda: Marafiki Wasiofaa, Utoto Vilinihari...
KABLA ya Video Queen Tunda Sabasita kukamatwa na polisi kwa soo la kutumia madawa ya kulevya kisha kufi kishwa mahakamani akiwa na mastaa wengine, alikuwa gumzo kutokana na matanuzi aliyokuwa akiyafanya kwenye mahoteli makubwa kisha kutupia picha kwenye mitandao. Wengi walihoji kama kweli ni sanaa tu ambayo inamuweka mjini au kuna madili mengine lakini […]
Read More..





