Nilijua Leo Tungeambiwa Roma Amepatikana ...
Msanii Mrisho Mpoto leo asubuhi na mapema alikwenda Kituo Kikuu cha Polisi (Central) ili kufuatilia sakata la kutekwa kwa msanii Roma Mkatoliki, Moni Centrozone na wenzao wengine wawili akiwepo producer Binladen pamoja na Emma. Mrisho Mpoto anasema alikwenda leo asubuhi na mapema akiwa na matarajio kuwa huenda polisi leo wangeweza kuwapa taarifa kuwa wasanii hao […]
Read More..





