-->

Category Archives: BongoFleva

Ommy Dimpoz Afunguka Sababu ya Kufanyakazi ...

Post Image

Msanii Ommy Dimpoz ambaye kwa sasa amerudi kwenye game na kolabo ya wimbo wa ‘Kajiandae’ aliyofanya na Alikiba tena, ametoa sababu ya kuamua kufanya tena kollabo na msanii huyo. Akizungumza kwenye FNL ya East Africa Television na East Africa Radio, Ommy Dimpoz amesema mara ya kwanza alivyofanya kollabo ya Nai Nai na Alikiba ilikuwa ili […]

Read More..

TID Aituhumu Clouds FM Kuuza Wimbo Zeze Bil...

Post Image

Msanii mkongwe wa muziki Khalid Mohamed aka TID ameingia kwenye mgogoro na kituo cha redio cha Clouds FM baada ya kukituhumu kituo hicho kimejiingizia fedha kwa kuhadaa wao ndio waliotayarisha wimbo wa Zeze. Muimbaji huyo ametoa tuhuma hizo kupitia mtandao wa kijamii wa istagram pamoja na kuweka kielelezo cha kava ya CD ambacho amedai amekipata […]

Read More..

Nilipumzika Muziki Kula Bata – Ommy Dimpoz

Post Image

Msani Ommy Dimpoz amesahihisha mashabiki walipokuwa wakisema msanii huyo kafulia baada ya kukaa kimya muda mrefu kwenye game, na kusema aliamu tu kupumizka kwa muda na si kama alifulia. Akizungumza kwenye FNL ya East Africa Television, Ommy Dimpoz amesema watanzania wamekuwa na mtazamo tofauti sana hasa pale msanii anapokuwa kimya kwenye kazi zake, na kukimbilia […]

Read More..

Alikiba Akerwa na Watanzania wanaomtusi Wiz...

Post Image

Alikiba ameelezea kusikitishwa kwake na Watanzania wanaomtukana staa wa Nigeria, Wizkid kwenye akaunti yake ya Instagram. Kiba amesema anaamini wale wanaomtukana si mashabiki wake kwakuwa mashabiki wake wa ukweli wanajua jinsi anavyomkubali Wiz. Ali amesema yeye ni shabiki mkubwa wa Wizkid na amemsihi kuwapuuza watu hao wanaomtukana. “I am not happy with what has been […]

Read More..

Shilole Ampongeza Nuh Mziwanda kwa Kufunga ...

Post Image

Shilole amempongeza Nuh Mziwanda kwa kuongeza idadi ya wasanii walioukimbia ukapera baada ya kufunga ndoa kimya kimya na mpenzi wake Nawal. Kupitia mtandao wa Instagram, Shilole ameandika ujumbe unaosomeka, “Hongera Nuh Mwenyezi Mungu awatie baraka tele kwenye ndoa yenu.” Hitmaker huyo ameungana na mastaa wengine waliofunga ndoa mwaka huu akiwemo Mwana FA, Shamsa Ford, Nyandu […]

Read More..

Martin Kadinda: Diamond Hakukosea Mavazi Kw...

Post Image

Mbunifu wa mavazi nchini, Martin Kadinda amefunguka kwa kusema kuwa Diamond hakukosea kuvaa mavazi aliyovaa kwenye video yake ya wimbo ‘Salome’ baada ya watu katika mitandao ya kijamii kudai mavazi hayo hayakuendana na uhalisia ya video hiyo. Mbunifu huyo ambaye pia amekuwa akimvalisha msanii huyo, amesema hakuona tatizo kwa Diamond kutumia mavazi yale kwa kuwa […]

Read More..

MTV EMA Wampokonya Tuzo Wizkid na Kumpa Ali...

Post Image

IKIWA ni siku chache baada ya waandaaji wa Tuzo za MTV EMA 2016 kutoa tuzo hizo na kumtangaza msanii wa Nigeria Wizkid kuwa ndiye mshindi wa Best African Act na Worldwide Act ambapo katika kipengele hicho alikuwa akichuana na msanii wa Tanzania, Ali Kiba. Waandaaji hao wamempokonya Wizkid tuzo hiyo kwa madai kuwa hakustahili na […]

Read More..

Alikiba,Jide,Joh Makini,Shetta Wapambana Ku...

Post Image

East Africa Television LTD imeendelea kutaja ‘nominees’ wa vipengele vingine viwili watakaowania EATV AWARDS. Kupitia Planet Bongo ya East Africa Radio, EATV LTD ikishirikana na Vodacom Tanzania na CocaCola imetaja vipengele viwili vya kundi bora la mwaka, na video bora ya mwaka, ambapo wasanii kutoka nchi 3 za Afrika Mashariki, wamefanikiwa kupenya. Wasanii hao tukianzia […]

Read More..

Tunda Man Atoa Ushauri Huu kwa Madee Kuhusu...

Post Image

Msanii wa bongo fleva Tunda Man amemshauri rafiki yake Madee kufunga ndoa kwa kuwa amemzidi umri na ana mwanamke ambaye anampenda hivyo haoni sababu ya Madee kuacha kufunga ndoa na yupo tayari kuchangia mahari ya Madee.   Akiongea ndani ya eNewz Tunda amewapongeza wasanii wezake waliofunga ndoa akiwemo Nyandu Tozi, Mwana Fa , Mabeste na wengine Tunda […]

Read More..

Abby Skills Amtaka Hakeem 5 Kumuomba Radhi ...

Post Image

Msanii mkongwe wa muziki wa bongo fleva Abby Skills amemchana msanii mwezake Hakeem 5 kutuliza akili yake na arudi kwa Ally Kiba amuombe msamaha kwa kuwa Kiba hana tatizo na mtu. Akiongea ndani ya eNewz, Abby amesema Hakeem 5 alimkosea sana Alikiba na kumshauri arudi nyuma na kuomba msamaha kwa kuwa mwanamuziki huyo hana kinyongo na […]

Read More..

Ruby Afungukia Tetesi za Kusaini WCB

Post Image

Muimbaji wa kike mwenye sauti ya dhahabu kwenye Bongo Fleva, Ruby amefunguka juu ya tetesi zilizosambaa kuwa amesaini kujiunga na lebo ya WCB. Ruby amepinga kujiunga na lebo hiyo lakini amedai kuwa anapenda kuwa karibu na Diamond kwa ajili ya kujifunza vitu vingi kutoka kwake. “WCB hawana roho mbaya unaenda tu muda wowote kama unajua […]

Read More..

Video ya Kala Jeremiah Yamkutanisha Mama na...

Post Image

Video ya msanii Kala Jeremiah ‘Wanandoto’ imeweza kumkutanisha mtoto na mama yake mzazi baada ya mtoto huyo kupotea nyumbani kwao tangu mwaka jana mwenzi wa tisa. Mama mzazi wa mtoto huyo amessimulia alivyoteseka kumtafuta mtoto huyo ambapo anasema alikwenda wa waganga, amehangaika kwenye maombi, na njia nyingine za kumpata mtoto wake huyo lakini haikuwezekana mpaka alipokuja […]

Read More..

Sijalivunja Jahazi- Said Fella

Post Image

Meneja wa kundi la Yamoto Band, Said Fella amefunguka na kusema yeye si sababu ya kuvunjika kwa Band ya Jahazi Modern Taarab ambayo ilikuwa inamilikiwa na Mzee Yusuph baada ya wasanii wakongwe na nguli wa band hiyo kukimbilia kwenye Band mpya iliyoanzishwa na Said Fella. Akizungumza kwenye eNEWZ Said Fella amedai kuwa yeye hajaivunja Jahazi bali […]

Read More..

Diamond Platnumz Ashinda Tuzo Tatu AFRIMA

Post Image

Diamond Platnumz ameibuka na ushindi wa nguvu kwenye tuzo za Afrima 2016 zilizotolewa Jumapili hii jijini Lagos, Nigeria. Muimbaji huyo ameshinda tuzo tatu, Song of The Year – Utanipenda, Best Artist/Duo/Song Of The Year Utanipenda na Best Male Artist in Eastern Africa. Pamoja na ushindi huo, Diamond pia alitumbuiza wimbo alioimba na Papa Wemba, msanii […]

Read More..

Msanii Bora 2016 Kwangu ni Dogo Janja- Nick...

Post Image

Rapa Niki wa Pili kutoka katika kundi la Weusi amefunguka na kusema kuwa kwa mtazamo wake kwa mwaka 2016 msanii bora kwake ni Dogo Janjakwani msanii huyo ameweza kufaulu kwa kiwango cha juu mtihani ambao unawashinda wasanii, wasomi, wafanyabiashara wengi duniani. Niki wa Pili anasema Dogo Janja aliwahi kuteleza na kuanguka lakini ameweza kufanikiwa kuinuka […]

Read More..

Lord Eyes Amuombea Chid Benzi

Post Image

Rapa Lord Eyes kutoka katika kundi la Weusi amefunguka na kumtaka msanii Chid Benzi kutopagawa kwani yeye bado ni msanii mkali sana mwenye uwezo wa hali ya juu hivyo anazidi kumuombe kwa Mungu ili aweze kutoka katika mambo ambayo yanamchanganya pia amemkumbusha kuwa anapaswa kumuomba Mungu kwani kila jambo linawezekana. Lord Eyes alisema hayo kupitia […]

Read More..

Hemed ‘PhD’, Filamu Kali, Muziki Mzuri...

Post Image

NIKIMTAZAMA msanii mwenye makeke mengi akiwa na uwezo mkubwa wa kuvaa uhusika, Hemed Suleiman ‘PhD’, namkumbuka galacha wa Bongo Fleva Khaleed Mohamed ‘TID’. TID yeye ni msanii wa Bongo Fleva akitamba zaidi kwenye RnB, ambaye aliweza kung’aa sana enzi zake na hadi sasa akiwa na bendi yake iitwayo Top Band. Akiwa yupo kwenye kilele cha […]

Read More..

Steve RnB Atoa Dongo kwa Nuruelly na Rama D

Post Image

Msanii wa RnB nchini Steve RnB amesema hawezi kufanya muziki wa kisingeli na siku akifanya atachekesha hata Nuruelly na Rama D wamekosa washauri sahihi mpaka kuamua kufanya aina hiyo ya muziki. Akipiga story ndani ya eNewz, amesema hadhani kama ni kitu sahihi kutoka katika muziki wa RnB na kuimba Singeli labda kama waliofanya hivyo walifanya […]

Read More..