-->

Category Archives: BongoFleva

Ali Kiba, Sallam Wametoka Mbali

Post Image

Wiki mbili zilizopita, Ali Kiba alikuwa mmoja kati ya mastaa wa muziki waliopafomu kwenye Tamasha la Rock lililofanyika Viwanja vya Golf, Mombasa. Katika tamasha hilo lililokuwa na staa kutoka Marekani, Christopher Maurice ‘Chris Brown’ na Ayodeji Balogun ‘Wizkid’ kutoka Nigeria liligeuka kuwa na sintofahamu baada ya Ali Kiba kupanda na kupafomu nyimbo mbili tu, ikiwemo […]

Read More..

Said Fella Afungukia Tetesi za Bifu Lake na...

Post Image

BAADA ya hivi karibuni kudaiwa kuwa ana bifu na msanii wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, bosi wa Yamoto Band, Said Fella  amefunguka kuwa tetesi hizo siyo za kweli na haijawahi kutokea.   Habari kutoka kwa vyanzo mbalimbali zilidai kuwa wawili hao waliingia kwenye bifu baada ya wasanii wa Bendi ya Yamoto anayoisimamia kumlalamikia Diamond ambaye […]

Read More..

Roma Mkatoliki Afungukia Skendo ya Kuwa na ...

Post Image

Msanii Roma Mkatoliki amempa zawadi ya wimbo mtoto wake anayeitwa Ivan katika siku yake ya kuzaliwa ambapo ametimiza miaka minne, lakini kuna tetesi kuwa rapa huyo ana mtoto mwingine nje ya ndoa. Ukiongelea wasanii ambao wanafanya vizuri kwa upande wa hip hop huwezi kuacha jina la Roma Mkatoliki. eNewz ilipiga story na Roma na alisema […]

Read More..

Q Chief Bado Anajuta Kuingia Kwenye Matumiz...

Post Image

Ikiwa ni mwaka mmoja toka msanii wa muziki, Q Chief akiri kutumia Madawa ya kulevya na kuamua kuacha mwenyewe, muimbaji huyo bado anaumia akikumbuka jinsi Madawa ya kulevya yalivyomwaribia maisha yake. Muimbaji huyo ambaye mpaka sasa bado ana mashabiki wengi katika muziki wake, aliacha matumizi ya Madawa ya kulevya baada ya bintie kumuelezea adha anayopata […]

Read More..

Z Anto Awatolea Nje WCB

Post Image

Msanii Z Anto ambaye aliwahi kutamba na ngoma kibao kali kama ‘Binti kiziwi, Mpenzi jini, Kisiwa Cha Malavidavi amefunguka na kusema kuwa mpaka sasa kuna label zaidi ya nne ambazo zinamuhitaji na kuhitaji kufanya naye kazi. Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo Z Anto amesema alipata ofa kujiunga na WCB Wasafi lakini yeye mwenyewe anadai […]

Read More..

Dully Sykes Afunguka Kumkubali Zaidi Diamon...

Post Image

Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Dully Sykes amefunguka sababu ya kumkubali zaidi Diamond Platnumz kuliko wasanii wengine. Muimbaji huyo ameiambia Times FM kuwa anamkubali zaidi Diamond kwakuwa amekuwa akimheshimu zaidi. “Watu wanalalamikaga ‘oooh’ namsifia sana Diamond, nisiongee uongo nakubali wote wananiheshimu lakini Diamond ananiheshimu na kunionesha nidhamu zaidi,” amesema Dully. Dully ameongeza kuwa […]

Read More..

Stan Bakora Afungukia Ishu ya Barakah The P...

Post Image

Mchekeshaji maarufu Stan Bakora amefunguka juu ya povu lililomtoka Barakah The Prince siku kadhaa baada ya kuachia parody ya wimbo ‘Nisamehe’. Kupitia kipindi cha Friday Night Live cha EATV, Stan amesema kuwa kama asingefanya vile video ingekuwa ya kawaida tu na isingeleta maana. “Barakah ameshindwa kuelewa. Kama nisingefanya vile ile video isingeleta maana, lazima uonyeshe […]

Read More..

King Crazy GK Atoa Wito Huu Kwa Wasanii

Post Image

Msanii King Crazy GK amesema kitendo cha wasanii kuandikia nyimbo studio na kuingiza sauti hapo hapo kurekodi, ni moja sababu inayofanya muziki wa sasa kutoishi kama ule wa zamani.   Akizungumza na East Africa Radio, King Crazy Gk amesema msanii kurekodi wimbo huku akiwa anasoma mashairi kwenye karatasi aliyoandikia inapoteza ‘focus’ ya msanii na kupoteza […]

Read More..

Babu Seya, Papii Watuma Ujumbe Mzito Kwa JP...

Post Image

Kwa Wabongo walio wengi, majina ya Nguza Viking ‘Babu Seya’ na Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ siyo mageni. Wao ni wafungwa wanaotumikia kifungo cha maisha ndani ya Gereza la Ukonga, Dar baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kulawiti na kunajisi watoto 10. Tangu kufungwa kwao, mwaka 2004, miaka 12 iliyopita, mengi yamesemwa, mengi yameandikwa, lakini […]

Read More..

Ney wa Mitego: Najiamini Kupitiliza

Post Image

Msanii Ney wa Mitego amesema maisha aliyokuwa anaishi yamemjengea ujasiri na kujiamini hata pasipostahili, na ndio kitu kikubwa kilichomfanya aweze kufanya muziki wa tofauti hata asipoungwa mkono na watu.\ Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Ney wa Mitego amesema maisha hayo yalimfanya asimuogope mtu yeyeite hata kama kamzidi umri, lakini ili mradi ameridhisha […]

Read More..

Diamond, Harmonize na DJ D-Ommy Washinda Tu...

Post Image

Diamond Platnumz, Harmonize na DJ D-Ommy, wameibuka washindi kwenye tuzo za Afrimma 2016, zilizofanyika Dallas, nchini Marekani Jumamosi hii. Diamond ameibuka mshindi wa tuzo ya Msanii bora wa kiume Afrika Mashariki, Harmonize Msanii bora chipukizi na D- Ommy, DJ bora wa Afrika. “Team Tanzania Mungu ni mwema siku zote,” ameandika Harmonize baada ya ushindi huo. […]

Read More..

Nikki wa Pili Atofautiana na Baghdad kwenye...

Post Image

Msanii Nikki wa Pili amepingana na kauli ya msanii mwenzake wa hip hop rapa Baghdad aliposema kutopendana kwa wasanii hao kutasababisha muziki wa hip hop bongo kufa. Akizungumza na EATV Nikki wa Pili amesema ingawa kutopendana kwa wasanii kupo kutokana na kazi wanayofanya kuwa ya ushindani, muziki wa hip hop hauwezi kufa kwani hiyo siyo […]

Read More..

Picha:Tunda Man Afunga Ndoa Rasmi

Post Image

Mkali wa Bongo Fleva kutoka  Tip Top Connection, Tunda Man amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu aitwae Sabrah. Ndoa imefungwa Ijumaa ya jana mkoani Morogoro nyumbani kwa Bi Sabrah, ilihudhuriwa na mastaa wa muziki kutoka Tip Top Connection. Hizi ni baadhi ya picha.

Read More..

Amini: Linah Amepoteza Uhalisia Wake wa Mwa...

Post Image

Amini aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Linah uliodumu kwa miaka mingi kabla ya kuachana na kila mmoja akawa na maisha yake. Pia Amini aliwahi kumwandikia msanii huyo nyimbo kadhaa zilizofanya vizuri. Lakini sasa hitmaker huyo wa ‘Bado Robo Saa’ amesema kuwa Linah wa sasa si yule wa zamani katika uimbaji. “Linah wa sasa […]

Read More..

Abdu Kiba: Sioni Sababu ya Kiba Square Kuja...

Post Image

Msanii Abdukiba mdogo wa Alikiba amefunguka na kusema kuwa kwa sasa haoni sababu ya kazi zao kama kundi na kaka yake kuanza kutoka kutokana na Alikiba kuwa na kazi nyingi za kushirikiana hivyo atasikika kwa muda mrefu katika kazi mbalimbali. Abdu Kiba alisema hayo kupitia kipindi cha eNewz ya EATV na kusema kutokana na Alikiba […]

Read More..

Picha: Barakah The Prince Aonyesha Mjengo W...

Post Image

Msanii wa bongo fleva nchini Tanzania ambaye aliwahi kupata tuzo ya msanii bora anayechipukia mwaka 2014 /2015 kupitia wimbo wake ya ‘Jichunge’ Barakah The Prince ameonesha matunda aliyoyapata kutokana na muziki tangu aanze kuimba mwaka 2014. Miongoni mwa mafanikio aliyopata ni pamoja na kujenga nyumba kubwa yenye vyumba 5 huku nje akiwa ameweka sehemu ya […]

Read More..

Ochu Shegy ni Bora Kuliko Chris Brown ̵...

Post Image

Rapa wa kike nchini, Witness a.k.a kibonge mwepesi amefunguka na kusema kuwa msanii Ochu Shegy ambaye kwa sasa ni mume wake kuwa yeye ni bora kuliko hata Chris Brown. Witness alisema hayo kupitia kipindi cha 5Selekt kinachorushwa na Ting’a namba moja kwa vijana na kudai kuwa kwa sasa Ochu Shegy ni kama ‘Role Model’ wake […]

Read More..

Belle 9: Siwezi Kufanya Singeli, Atoa Sabab...

Post Image

Belle 9 amesema hafikirii kabisa kufanya muziki wa Singeli. Muimbaji huyo wa R&B amesema huo ni muziki wa kupita na katu hauwezi kudumu. Alitoa kauli hiyo baada ya kuulizwa swali na mtangazaji wa kipindi cha Supa Mega cha Kings FM, Prince Ramalove iwapo atafanya muziki huo mashabiki wakimtaka. “Sitegemei,” alisema Belle. “Hata kama nitafanya, sitofanya […]

Read More..