Category Archives: BongoFleva

Uchebe Afungukia ‘Honeymoon’ Ya...

Post Image

Mume mtarajiwa wa msanii ambaye ni mfano wa kuigwa kwa mabinti kutokana na juhudi zake za kupambana na maisha, Zuwena Mohamedi au Shilole, ameweka wazi matarajio ya kumpeleka Ulaya kula ‘honey moon’ mke wake huyo mtarajiwa. Akizungumza na mwandishi wa East Africa Radio, mwanaume huyo anayejulikana kwa jina la Uchebe, amesema ndoa yake na msanii […]

Read More..

Bifu ya FA na Jaydee Imenitesa Sana – AY

Post Image

Msanii mkongwe wa muziki wa bongo fleva nchini AY amefunguka na kusema kuwa bifu kati ya msanii Mwana FA na Lady Jaydee yeye ilikuwa inamsumbua sana na kusema aliamini ipo siku wanaweza kumaliza tofauti zao. AY amesema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Friday Night Live (FNL) na kusema kuwa kwa kuwa yeye alikuwa ni rafiki […]

Read More..

Harmorapa Awajabu Wanaomtafuta

Post Image

Msanii ambaye hakauki vituko mitandaoni Harmorapa, amewajibu watu wanaomsema kuwa amepotea pamoja na kiki zake zote, na kusema kwamba hajapotea isipokuwa yuko busy na biashara. Harmorapa ameyasema hayo leo kwenye eNewz ya East Africa Television, na kusema kwamba watu wanatakiwa wajue licha ya muziki Harmorapa ana maisha yake mengine ambapo pia ni mfanyabiashara, na sasa […]

Read More..

Martin Kadinda Atoa Siri ya Wema

Post Image

Mbunifu maarufu wa mavazi bongo ambaye pia ni mtu wa karibu wa Wema Sepetu, Martin Kadinda, ametoa siri kwa wasiomjua mlimbwende huyo maarufu kama Tanzania Sweetheart ni mkorofi kuliko anavyoaminika. Kadinda ametoa siri hiyo ambayo wengi walikuwa hawajui kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, na kusema kwamba Wema Sepetu yuko tofauti na watu wengi […]

Read More..

Lady Jaydee Afungukia Ishu ya Ndoa

Post Image

Msanii Lady Jaydee amesema sasa hivi hafikirii kufunga ndoa na mchumba wake Mnigeria ambaye pia ni msanii, kwa sababu haamini kila mahusiano ni lazima yaishie kwenye ndoa. Jaydee ametoa siri hiyo leo alipokuwa akipiga stori na Big Chawa kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, na kuwataka watu wasitegemee jambo hilo kwake na wasikariri kila […]

Read More..

Diamond kuingiza sokoni albamu mpya

Post Image

Mshindi wa tuzo ya mwanamuziki bora wa kiume Afrika Mashariki kwa miaka minne mfululizo katika tuzo za Afrimma, Diamond Platnumz ametangaza ujio wa albamu mpya aliyoipa jina la A Boy From Tandale. Hii itakuwa albamu ya tatu kwa mwanamuziki huyo, baada ya Kamwambie na Lala Salama. Taarifa zimeeleza baadhi ya nyimbo zitakazokuwemo kwenye albamu hiyo ni Number […]

Read More..

Kauli ya Jaydee baada ya kupatana na FA

Post Image

Msanii Lady Jaydee ambaye hivi karibuni amepatana na aliyekuwa mhasimu wake msanii Mwana FA, amesema alishukuru sana kwa kitendo cha Mwana FA kumpa ushirikiano kwenye kazi zake na kupost Instagram kumpa promo. Akiongea  kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Lady Jaydee amesema ni jambo jema na la kumshukuru Mungu kwa wasanii wanapopeana ushirikiano. “Ni […]

Read More..

ACHA ASLAY ATAMBE… ALIFICHWA YAMOTO BAND!

Post Image

NAENDA Kusema ndio moja kati ya ngoma ambazo zilimfanya Aslay Isihaka ajulikane kwenye gemu la Bongo Fleva, wakati huo alikuwa chini ya mikono ya Mkubwa Fella kupitia Yamoto Band. Kadiri miaka ilivyozidi kusogea, imani kwa bwa’mdogo huyo ilizidi kuwa kubwa kwa mashabiki. Walioujua vizuri muziki wake waliweza kumfananisha na wasanii wakubwa tu Bongo lakini swali […]

Read More..

Mapenzi Kwangu Yanashika Nafasi ya Nne-Vane...

Post Image

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Vanessa Mdee ‘V-Money’, ameeleza vitu vinne vilivyopewa nafasi kubwa katika maisha yake, huku mapenzi yakishika nafasi ya mwisho. Akizungumza hivi karibuni na MTANZANIA, mwanadada huyo alisema ameamua kuyapa mapenzi nafasi ya mwisho ya nne ili kuongeza juhudi katika vitu vya maana. V-Money alisema kitu kilichopewa nafasi kubwa na kinachoshika […]

Read More..

Alikiba sio level yangu – Aslay

Post Image

Msanii Aslay ambaye sasa hivi anafanya vizuri zaidi huku akiachia kazi mpya kila siku, amewataa mashabiki kutompambanisha na Alikiba au msanii yeyote, kwani hajaweza kufikia nafasi ya Alikiba. Aslay ameyasema hayo kwenye kipindi cha eNewz kinachorushwa na East Africa Televison, na kusema kwamba ingawa anaendelea kufanya vizuri lakini hawezi kupambanishwa na msanii huyo kwani hawako […]

Read More..

Nay Afunguka Kuuza Magari Yake

Post Image

Msanii wa muziki wa kizai kipya Emmanuel Elibariki maarufu kama Nay wa Mitego, ameweka wazi sababu ya kuuza magari yake na kuonekana akipanda daladala, na kukiri kweli ameuza magari Akiongea na mwandishi wa East Africa Television, Nay amesema ameuza magari hayo kwa sababu mbalimbali ambazo anazijua yeye, hivyo watu wasishangae wakimuona akikatisha mtaani kwa mguu […]

Read More..

Dogo Janja: Uwoya Kanigombanisha na Demu Wa...

Post Image

HIT maker wa ngoma ya Ngarenaro, Abdulaaziz Chende ‘Dogo Janja’, amefunguka kuwa skendo inayosambaa ikimhusisha yeye na Queen wa Bongo Muvi, Irene Uwoya, kuwa wanavunja amri ya sita kisirisiri, ishu hiyo imeleta mgogoro wa kukata na shoka kati yake na mpenzi wake, ambaye anadhani huenda labda ishu hiyo ina ukweli ndani yake. Dogo Janja ambaye hata […]

Read More..

Alikiba Amzungumzia Mange Kimambi

Post Image

Alikiba ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake wa ‘Seduce me’ amefunguka na kusema kuwa Tanzania kila mtu ana haki na uhuru wake hivyo hata yeye anajisikia vizuri kuona watu maarufu wanapenda kazi zake na kudai ana haki ya kupendwa na Mange Kimambi Alikiba amedai kuwa Mange Kimambi ni moja kati ya mashabiki zake na […]

Read More..

VideoMpya: KALA JEREMIAH – KIJANA (Of...

Kala Jeremiah leo kaja na kibao kipya cha nyimbo inayojulikana jina la  ‘kijana’ ambayo aliahidi kuitoa siku chache zilizopita.

Read More..

Diamond Kupandishwa Kizimbani Kisa Matunzo ...

Post Image

Mwanamuziki Diamond Platnumz amepelekewa wito wa kuitwa Mahakama ya Watoto na mzazi mwenzake, Hamisa Mobetto kwa madai ya kushindwa kumuomba radhi na kutoa matunzo ya mtoto. Wito huo wa Diamond umewasilishwa na mawakili wa Mabetto, Abdullah Zulu na Walter Godluck kutoka Kampuni ya Uwakili ya Century Attorneys. Katika wito huo Diamond Platnumz anadaiwa kumdhalilisha na […]

Read More..

Nay wa Mitego Afungukia Bifu la Diamond na ...

Post Image

Msanii Nay wa Mitego amesema ugomvi/mvutano wa Diamond ana Alikiba haujaathiri wimbo wake hata mmoja. Nay ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma Makuzi ameiambia Dj Show ya Radio One kuwa kipimo cha ngoma zake kufika mbali ni pale anapokuwa kwenye show au mapokezi ya watu mtaani ila mambo ya mtandaoni hayaathiri chochote. “Ni wimbo […]

Read More..

Ommy Dimpoz: Naijua Sababu ya Baraka Kutoka...

Post Image

MSANII wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz, anayetamba na wimbo wake mpya wa Cheche amefunguka juu ya sakata lake na Baraka Da Prince, kuwa sababu ya msanii huyo (Da Prince) kutoka katika Label ya RockStar400 ni kutokana na Ommy Dimpoz kujiunga na Label hiyo. Ommy Dimpoz amsema si kweli kwamba yeye kuingia RockStar4000 ndiyo sababu ya […]

Read More..

Snura Atafuta wa Kumpa Mimba

Post Image

Msanii wa bongo fleva, Snura Mushi maarufu kama Malkia wa uswazi ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya wa ‘zungusha’ amefunguka na kudai anatamani kupata ujauzito ila hamtamani atakayempa. Snura ameeleza hisia zake hizo kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram asubuhi ya leo na kufanya kuwashangaza watu kwa kile alichokiandika, huku wengine […]

Read More..