Category Archives: BongoFleva

Lulu Diva Amkataa Nay wa Mitego Hadharani

Post Image

WAKATI mtaani kukiwa na hapa na pale kuhusu uwepo wa uhusiano Nay Wa Mitego na Lulu Diva, katika moja ya mahojiano na kituo cha habari, Lulu ametoa povu zito kwenda kwa Nay. “Nay hawezi kuwa type yangu hata siku moja na haijawahi na hawezi kuja kuwahi hata siku moja eti niwe na Nay,” “Kwanza hajawahi […]

Read More..

Diamond, Giggy Money na Wema Sepetu…

Post Image

Maisha yetu yapo kuligana na mawazo yetu. Furaha yako maishani inategemea na ubora wa mawazo yako. Huwezi kumuweka kwenye kundi la vijana mabishoo. Ni mtoto wa kihuni. Hajali. Na kutokujali kwake ndiko kulikomfikisha pale alipo. Kifupi hasikilizi wala hana hofu na watu watasema nini. Ogopa sana mtu wa hivyo. Ndiyo Diamond Platinumz. Kuna wakati unajiuliza […]

Read More..

Wasanii wa Singeli Wananiponda- Msaga Sumu

Post Image

Mfalme wa singeli nchini Tanzania, Msaga Sumu amefunguka na kudai wasanii wengi wa singeli wanatapotea katika muziki kwa sababu ya kutokuwa na heshima kwa watu wanaowazunguka kwenye kazi zao. Msaga Sumu amebainisha hayo kupitia kipindi cha FRIDAY NIGHT LIVE (FNL) kutoka EATV baada ya kupondwa kwa maneno makali kwa kipindi kirefu na wasanii wenzake huku wengine […]

Read More..

Alikiba Afurahia Kuwepo Coke Studio

Post Image

MKALI wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Ali Kiba, amesema moja ya mafanikio ambayo anajivunia kwa mwaka huu ni kushiriki tena onyesho la Coke Studio. Kiba, ambaye amefanya kolabo na mwimbaji wa Nigeria, Patoranking, amesema kushiriki msimu huu wa tano wa Coke Studio kutamfanya aongeze idadi kubwa ya mashabiki. “Kushiriki katika onyesho hili linaloandaliwa na […]

Read More..

New Music Video:Kikomando by Babbi

Post Image

Baada ya kusubiri kwa hamu msanii kutoka bongo @Babbi_music ameachia rasmi video yake mpya Kikomando iliyofanyika nchini Marekani link https://youtu.be/SXjYEYC1weg kwa bio yake @babbi_music itakupeleka direct kutazama video yake. Ni fireeeee.

Read More..

Diamond, Mobetto Waibua Mabifu ya Mastaa

Post Image

IMESHAFAHAMIKA kuwa Dylan au Abdulatif ni mtoto wa Diamond Platnumz aliyezaa na mwanamitindo Hamisa Mobetto, siri hiyo iliyofichwa kwa muda mrefu ilifichuliwa na Chibu Dangote mwenyewe katika mahojiano na moja ya redio kubwa nchini. Baada ya Diamond kuweka bayana ukweli wote mashabiki na watu maarufu mbalimbali nchini wamekuwa na maoni yao huku kila mtu akiwa […]

Read More..

Dogo Janja Amjibu Haya Young Dee (VIDEO)

Post Image

Baada ya Rappa Young Dee kuomba asifananishwe na wasanii kama Dogo Janja kutoka Arusha na Young Killer wa Mwanza, Dogo Janja amesema hawezi kumjibu msanii huyo kwani hajui kama atakuwa anamjibu mtu mwenye akili timamu au tayari amekula unga. Kupitia kipindi cha eNewz ya EATV, Dogo Janja amesema kuwa Young Dee kuomba asifananishwe na msanii […]

Read More..

Maneno Matamu 72 ya Diamond kwa Zari

Post Image

Ikiwa leo ni Birthday ya Zari The Boss Lady, Diamond amechukua muda wake na kuandika ujumbe kwa Baby Mama huyo ikiwa ni sehemu ya pongezi zake kwake. Ujumbe huo ambao ameundika katika mtandao wa Instagram amemtaja Zari kama mwanamke ambaye amekuwa naye bega kwa bega katika mafanikio yake. Uzuri na Urembo pengine ningetembea nikakuta baadhi […]

Read More..

Shetta Apata Mtoto wa Mwingine

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva Nurdin Bilal maarufu kwa jina la Shetta, ameonyesha urijali wake kwa kubahatika kupata mtoto wa pili aliyezaliwa leo. Kwenye ukurasa wake wa instagram Shetta amepost picha akiwa amebeba kichanga huku akiandika maneno ya kumkaribisha mtoto huyo duniani. “Karibu duniani mwanangu….!! Asante Mungu kwa huyu mwingine, sasa Kayla uache kuringa”, ameandika […]

Read More..

Alikiba anena Seduce Me kushindanishwa na Z...

Post Image

Wakati ngoma ya Alikiba Seduce Me imetoka ilikuwa ikipanishwa na ile ya Diamond/WCB ‘Zilipendwa’ hasa katika mtandao ya Youtube, lakini Alikiba amefunguka na kusema hakuwahi kufuatilia hilo kabisa. Wakati ngoma ya Alikiba Seduce Me imetoka ilikuwa ikipanishwa na ile ya Diamond/WCB ‘Zilipendwa’ hasa katika mtandao ya Youtube, lakini Alikiba amefunguka na kusema hakuwahi kufuatilia hilo […]

Read More..

Nilikuwa Kama ‘Demu’ – Hemedi Phd

Post Image

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Hemed Phd amesema wakati anakuwa alikuwa mzuri kama mtoto wa kike, kitendo ambacho kilimuingiza kwenye matatizo mengi ikiwemo kufukuzwa shule. Akipiga stori na Big Chawa kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Hemedi amesema muonekano wake wenye kuvutia, ulisababisha awe na mahusiano na mke wa mwalimu na kupelekea kufukuzwa […]

Read More..

Diamond Ampa Jaribu la Tatu Zari

Post Image

NI mwaka wa majaribu kwa mrembo wa Kiganda, Zarina Hassan ‘Zari The Bosslady’. Hivi ndivyo unavyoweza kusema kutokana na majanga matatu yaliyotikisa maisha ya mlimbwende huyo kwa mwaka huu. Majanga hayo yalianza kumwandama Mei 25, mwaka huu baada ya mumewe wa zamani, Ivan Semwanga maarufu kama Ivan Don, kufariki dunia akiwa nchini Afrika Kusini. Ikiwa […]

Read More..

Ebitoke Alizwa na Ben Pol (Audio)

Post Image

Mchekeshaji maarufu bongo Ebitoke alizwa na kitendo cha anayedaiwa kuwa mpenzi wake Ben Pol kutopokea simu wala kujibu meseji zake, na kuomba msaada kwa watu kumuuliza msanii huyo kwa nini anafanya hivyo, licha ya kuwa na mipango mingi ya baadae. Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Ebitoke amesema kitendo hicho kinamuweka njia panda, […]

Read More..

Kajala, Wolper Kimewaka Mbaya

Post Image

Kinachoendelea hivi sasa kati ya mastaa wawili wakubwa wa filamu, Kajala Masanja na Jacqueline Wolper tunaweza kusema kimewaka mbaya baada ya mazungumzo kwa njia ya video kati ya muigizaji huyo na aliyekuwa bwana wa mwenzake kuwekwa mtandaoni na kuibua makubwa. Kajala alikuwa akizungumza kwa njia hiyo ya kisasa na msanii Rajab Abdulhan ‘Harmonize’, akionekana akila […]

Read More..

Ommy Dimpoz Kuwashangaza Mashabiki Wake

Post Image

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, amesema anajipanga kufanya kitu kitakachowashangaza mashabiki na wadau wa muziki nchini. Akizungumza na MTANZANIA jana, Ommy Dimpoz alisema hawezi kuzungumza sana kitu alichokiandaa kukifanya hivyo mashabiki wasubiri. “Ninajipanga kuwashangaza mashabiki zangu, wajiandae kusikia kile nitakachokifanya, nimekuwa nikisafiri mara kwa mara wakati huu ambao nipo kimya, […]

Read More..

Richie Amgeukia Dkt Cheni na Uigizaji

Post Image

Muigizaji wa filamu bongo, Rich Richie, Single Mtambalike amemtaka muigizaji wa zamani, Dkt. Cheni ambaye kwa sasa amejikita katika ushereheshaji wa shughuli , kurudi kwenye uigizaji kwani kilio chake cha soko la filamu wameshalitatua.   Akizungumza na eNewz ya EATV, Mtambalike amesema kuwa  anajua Dkt. Cheni alikata tamaa na kuendelea na kuigiza kwa sababu ya […]

Read More..

Diamond: Sitakaa niachane na Zari

Post Image

Dar es Salaam. Msanii wa muziki wa kizazi kipya Naseeb Abdul  ‘Diamond Platnumz’ amekiri kuzaa mtoto na mwanamitindo Hamisa Mobeto. Amezungumza hayo leo Jumanne akifanyiwa mahojiano ya moja kwa moja na kituo cha televisheni  na redio cha Clouds na kusema mtoto ‘Abdul’ ni wa kwake. “Mimba ni yangu na sitokaa nikaachana na Zari,” amesema Platnumz. Ambapo amesema amemgharamia […]

Read More..

Diamond Platunumz afunguka mazito kuhusu mt...

Post Image

Dar es Salaam. Mwanamuziki Diamond Platnumz amesema uhusiano wake na mwanamitindo Hamisa Mobeto umeidhalilisha familia yake hasa mama yake na mzazi mwenzake Zarina Hassan, maarufu Zari. Akizungumza katika kipindi cha Leo Tena kinachorushwa na kituo cha Redio cha Clouds jijini Dar es Salaam leo Jumanne, Diamond amesema mama yake alitukanwa katika mitandao ya kijamii baada […]

Read More..