Wakonta: Naomba Mnisaidie Kwa Hali na Mali
MWANDISHI wa muswada (script), Wakonta Kapunda, jana alijitokeza kwa waandishi wa habari akiomba msaada wa hali na mali ili aweze kupatiwa msaada wa vipimo mbalimbali kikiwemo kipimo cha MRI . Pia Wakonta ameomba msaada wa makazi kwa Jiji la Dar es Salaam ili iwe rahisi kwake kupata matibabu ya afya yake na kutimiza ndoto zake […]
Read More..





