-->

Category Archives: Bongomovies

artists from Tanzania , East AFRICA

Zijue Hapa Baadhi ya Kazi Alizofanya za Mar...

Post Image

Aliyekuwa mwigizaji wa filamu za Kibongo,marehemu Steven Kanumba leo ametimiza miaka minne tangu alipofariki dunia April 7 mwaka 2012. Historia ya Hayati Steven Kanumba. Amezaliwa: Januari 8 1984 Shinyanga,Tanzania Amekufa: Aprili 7, 2012 Dar es Salaam,Tanzania Kazi yakeMuigizaji,Mtunzi,Mtayarishaji,Muongozaji Steven Charles Kanumba(8 Januari1984,Shinyanga-7 Aprili2012) alikuwa msanii wa maigizo na filamu kutoka nchiniTanzania. Katika historia ya tasnia […]

Read More..

Picha: Mastaa Wajitokeza Kumuenzi Steven Ka...

Post Image

NA DENIS MTIMA/GPL

Read More..

Kanumba Kafa na Sanaa Imekufa – Steve...

Post Image

Muigizaji wa Filamu Steve Nyerere amefunguka ya moyoni kuhusu kifo cha marehemu Steven Kanumba na kufa kwa tasnia ya filamu nchini, ambayo wasanii wengi wamekuwa wakipinga kauli hiyo. Katika ukurasa wake wa instagram Steve Nyerere amepost picha ya marehemu Steven Kanumba akikumbuka kifo chake na kuandika ujumbe akisema kuwa muigizaji huyo nguli, ameondoka na sanaa […]

Read More..

Riyama Awapa Makavu Wanaoponda Mahusianio Y...

Post Image

Msanii wa filamu nchini Riyama Ally ambaye siku za karibuni ametolewa mahali na msanii wa muziki wa kizazi kipya Leo Mysterio amevunja ukimya kwa watu ambao wamekuwa wakisema kuwa anatoka na dogodogo huyo. Riyama amesema kuwa wanataka atoke na mzee ndiyo wamuone kuwa ana heshima. Kupitia kipindi cha eNEWS kinachorushwa na EATV Riyama amesema kuwa […]

Read More..

Miaka 4 ya Kifo cha Kanumba, Hii Ndiyo Hali...

Post Image

Hii ndiyo hali halisi! Ikiwa leo ni siku ya kumbukumbu ya kifo cha aliyekuwa staa wa filamu Bongo, Steven Charles Kanumba ambapo ametimiza miaka minne kaburini, mambo mbalimbali yametokea tangu alipofariki dunia huku magari na kampuni aliyokuwa akimiliki vikiwa vimepukutika kama majani. Kanumba alifariki dunia Aprili 7, 2012 maeneo ya Vatcan-Sinza jijini Dar nyumbani kwake […]

Read More..

Wastara, Hili la Ndoa Inabidi Ujifunze!

Post Image

KWAKO mwigizaji wa kitambo Bongo Muvi, Wastara Juma. Habari za kazi? Unaendeleaje na shughuli zako za kila siku? Binafsi namshukuru Mungu. Sijambo. Naendelea kupambana. Nimekukumbuka leo kwa barua, maana kitambo kidogo hatujaonana laivu. Nakumbuka mara ya mwisho tulikutana nyumbani kwako, Tabata. Tukazungumza mengi, lakini hiyo ilikuwa yapata zaidi ya miaka minne iliyopita. Dhumuni la barua […]

Read More..

Filamu ya Tanzania Kuonyeshwa Tamasha la Ma...

Post Image

BAADA ya mafanikio makubwa iliyopata filamu ya ‘Aisha’ ilipoonyeshwa kumbi mbalimbali ikiwemo Nafasi Artspace na Pangani, filamu hiyo imechaguliwa kwa ajili ya kuonyeshwa katika tamasha la kimataifa la filamu la New African Films litakalofanyika Washington D.C. nchini Marekani, mwaka huu. Pia filamu hiyo imechaguliwa kuonyeshwa katika tamasha la kimataifa la filamu duniani katika maeneo manne mashuhuri […]

Read More..

Rais wa Shirikisho la Filamu Asema Haya Kuh...

Post Image

Baada miaka ya hivi karibuni kuibuka kwa wasanii wengi wa muziki kuhusishwa na matumizi ya Madawa ya kulevya, Rais wa Shirikisho la Filamu ‘TAFF’ Simon Mwakifwamba wamewapongeza wasanii wa filamu kwa kutokujihusisha na matumizi ya Madawa ya kulevya. Akizungumza na Clouds FM Jumanne hii, Mwakifwamba amesema kuwa hakuna msanii wa tasnia hiyo anajihusisha na utumiaji […]

Read More..

Hivi Ndivyo Irene Uwoya Alivyojifungua Kwa ...

Post Image

Msanii wa filamu Irene Uwoya amesema hakupenda kabisa kujifungua kwa upasuaji lakini ilimbidi afanye hivyo ili kuokoa maisha yake pamoja naya mwanaye.   Muigizaji huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja aitwae Krish, amekiambia kipindi cha Uhondo cha EFM kuwa wakati anaelekea hospitali kucheki afya yake na maendeleo ya mimba yake, hakujua kama ndio siku […]

Read More..

Babu Yake Wastara Aeleza kilichosababisha N...

Post Image

Babu yake Wastara amefunguka na kueleza kilichosababisha kuvunjia kwa ndoa ya Wastara na Mbunge wa Donge kupitia CCM Sadifa Khamis Juma. Akizungumza na Times Fm, Babu huyo aliweka bayana kuwa Mbunge huyo mwenye cheo ndani ya umoja wa vijana CCM, alifikia hatua ya kuwatongoza wafanyakazi wa ndani ili awe nao kimapenzi. “Wastara hataki kurudiana na […]

Read More..

Picha: Wasanii wa Kundi la Elephant na New ...

Post Image

Wasanii wa kundi la Elephant na New Brain wakitoa sadaka katika kituo cha watoto waishio katika mazingira magumu Magomeni Mikumi. wakiongozwa na kampuni ya Steps Entertainment kwaajili ya uzinduzi wa filamu mpya ya QUEEN ELIZABETH.

Read More..

Filamu ya Baba na Mwana ni Kali Sana – Ki...

Post Image

KINYE Mkali mkurugenzi wa Kinye Mkali Picters amejisifia kuwa filamu yake ya Baba na Mwana ni sinema ya kipekee na haina mfano wake kwani ni kazi ambayo ameifanya kwa umakini mkubwa na itasambazwa na kampuni hiyo nchi nzima. “Kila siku tunajitahidi kufanya kitu kilicho bora zaidi hasa katika masuala ya burudani na elimu kwa jamii, […]

Read More..

Mzee Kambi Kuachia Filamu ‘Dar to Washing...

Post Image

Msanii wa filamu, Hashim Kambi amesema filamu yake mpya ‘Dar to Washington DC’ ambayo ilikuwa ikiandaliwa nchini Marekani huku ikishirikisha wasanii wa Tanzania na Marekani imekamilika. Mwigizaji huyo ambaye bado jupo nchini Marekani, ameuambia mtandao wa Filamucentral kuwa, yupo mbioni kurudi Dar baada ya kukamilisha kazi hiyo. “Ni zaidi ya mwezi mmoja sasa tumemaliza kushoot […]

Read More..

Je ni Kweli Video hii ya Wema Sepetu Imeuvu...

Post Image

Mara baada ya video ya Wema Sepetu aki-kiss na jamaa mwingime kusambaa mtandaoni, mshindi wa Big Brother Africa 2014, Idris Sultan ambaye anadaiwa kuwa bado yupo kwenye mahusiano na Wema sepetu inasemekana kuwa video hiyo imemuumiza sana moyo.     Idris amepost picha hiyo chini kwenye mtandao wa Instagram na kuandika: “I have learnt to consider […]

Read More..

Shamsa, Faiza Washerehekea Kulea Wenyewe!

Post Image

Kweli? Mastaa wawili wa Bongo Muvi, Shamsa Ford na Faiza Ally wametamba kuwa wanasherekea maisha ya ‘usingo mama’ wakidai wanalea wenyewe watoto wao bila wazazi wenzao. Wakizungumza na Wikienda kwa pamoja wakiwa kwenye viwanja vya bata jijini Dar, Shamsa na Faiza walidai kuwa, pamoja na wazazi wenzao kukaa pembeni na kuwaachia majukumu ya kulea, ‘wanainjoi’ […]

Read More..

Irene Uwoya Adai Anapenda Kuigiza ‘sceneâ...

Post Image

Staa wa filamu Irene Uwoya amesema anapenda sana kuigiza ‘scene’ za mapenzi katika filamu kwa sababu ni kitu ambacho anaweza kukifanya kwa ukamilifu zaidi.   Muigizaji huyo ambaye alionyesha uwezo mkubwa katika filamu ya Fair Decision, Pretty Girl pamoja na Oprah, amekiambia kipindi cha Uhondo cha EFM kuwa filamu ya Oprah ndio filamu ambayo ilimpa […]

Read More..

Wasanii Zaidi ya 70 Wajitokeza Usaili wa Fi...

Post Image

ZAIDI ya wasanii wa kike na mastaa wa filamu Bongo 70 wenye umri kati ya miaka 16 na 30, wamejitokeza katika usaili wa filamu mpya ya ‘Xballer’ uliofanyika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Aliyeongoza zoezi zima la usaili huo ni prodyuza na mwigizaji mkuu katika filamu ya ‘Going Bongo’, Ernest Napoleon […]

Read More..

Steve Amtwisha Jukumu la Filamu Makonda

Post Image

MSANII wa filamu Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ ameshikilia bango la kutaka filamu za nje zizuiwe hapa nchini kwa kuamini kuwa, soko la filamu za Kibongo litazidi kutanuka na kufanya vizuri. Akipiga stori na paparazi wetu alisema, kila anapofikiria masuala ya filamu jambo hilo huwa linazidi kumnyima raha na kumtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar […]

Read More..