-->

Category Archives: Other News

VIDEO: Kwanini Mzee wa Upako Anamkubali JPM...

Post Image

Mchungaji Anthony Lusekelo wa Kanisa la Maombezi Ubungo KIbangu, ameelzwa kukunwa na utendaji wa serikali ya awamu ya tano iliyo chini ya Rais John Magufuli, huku akiweka wazi asili ya jina lake la ‘Mzee wa Upako’ Akiwa katika kipindi cha KIKAANGONI kinachoruka kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV, Mzee wa Upako alitaja baadhi ya mambo […]

Read More..

Bashe, Musukuma, Malima Mbaroni

Post Image

Dodoma. Wabunge wawili na aliyekuwa naibu waziri wa fedha, Adam Malima wanahojiwa na polisi mjini hapa kwa kosa la kutaka kufanya vurugu na uchochezi katika vikao vya CCM. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Lazaro Mambosasa amethibisha na kuwataja waliokamatwa kuwa ni Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe na Mbunge wa Geita vijijini ambaye pia […]

Read More..

VIDEO:JPM Aongoza Kikao cha Kamati ya Maadi...

Post Image

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 10 Machi, 2017 ameongoza Kikao cha Usalama na Maadili cha chama kilichofanyika Chamwino Mkoani Dodoma. Kikao hicho kimehudhuriwa na wajumbe wake wakiwemo Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambaye ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti […]

Read More..

Video: Mdogo Wake Gwajima Amtetea Makonda, ...

Post Image

Mdogo wake na mchungaji Josephat Gwajima wa Kanisa la ufufuo na uzima, amesema mchungaji huyo anatakiwa aache kutumika na kuhoji kuna nani nyuma yake. Amedai mchungaji hawezi kujiingiza kwenye malumbano na mipasho ya kidunia. Ameendelea kusema vyeti vya Makonda viachiwe mamlaka husika kuchunguza kwani kumuandama sana inaweza kusababisha watu wengine siku zijazo kuogopa kujihusisha kupambana […]

Read More..

Ajiua Baada ya Kukamatwa na Viroba

Post Image

Mfanyabiashara na muagizaji wa pombe za viroba, Festo Mselia, amekutwa amejiua kwa kujipiga risasi ikiwa ni siku moja baada ya jeshi la polisi kuendesha msako na kukamata shehena ya pombe katika ghala alililokuwa akilimiki mjini Dodoma. Katika vita ya kupambana na matumizi ya pombe za vifungashio aina ya viroba vilivyopigwa marufuku, jeshi la polisi mkoa […]

Read More..

Morogoro: Wakuu wa Shule za Msingi Zilizofa...

Post Image

Walimu wakuu wa shule za msingi Magunga na Lubanta, Wilaya ya Mvomero zilizofanya vibaya kwenye mtihani wa darasa la saba mwaka jana, wamekabidhiwa kinyago. Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Mohamed Utaly alikabidhi kinyago hicho katika tukio lililoshuhudiwa na walimu wakuu wa shule za msingi na waratibu elimu kata wa wilaya hiyo, shule hizo zitakaa na […]

Read More..

Lissu Afutiwa Mashataka, Akamatwa Tena

Post Image

Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu amekamatwa na polisi katika mahakama ya Kisutu wakati akitoka kuhudhuria kesi yake ya uchochezi. Taarifa ya kukamatwa lwa Lissu imethibitishwa na Afisa Habari wa chama hicho, Tumaini Makene, ambaye amesema kuwa Lissu amekamatwa bila kupewa maelezo yoyote ya sababu za kukamatwa kwake, na amepelekwa […]

Read More..

Askofu Gwajima:Mimi ni Mashine ya Kusaga na...

Post Image

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema yeye ni sawa na mashine ya kusaga na kukoboa ambayo ukiweka miguu unageuka sembe. Gwajima amesema hayo leo asubuhi katika ibada  kanisani kwake  akieleza kuwa, “Baba wa familia amechokozwa kuwa anavuta unga watoto wamechachamaa wanataka baba ampige adui yake, nitaendelea kupiga bila kuogopa chochote.” “Watu […]

Read More..

Operesheni ya viroba inaendelea- Majaliwa

Post Image

Dodoma. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema operesheni kuhusu pombe za viroba inaendelea katika mikoa mbalimbali baada ya kupigwa marufuku Machi Mosi. Majaliwa amesema hayo katika kikao cha Baraza la Mawaziri cha kwanza tangu Serikali kuhamia mjini hapa. Amesema katika operesheni hiyo wamegundua mambo mengine ikiwamo uwapo wa kampuni zilizokuwa hazilipi kodi. Kuhusu kikao hicho cha […]

Read More..

VIDEO: Hatimaye Lema Aachiwa kwa Dhamana

Post Image

Hatimaye Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imemuachia kwa dhamana Mbunge wa Arusha Mjini kupitia CHADEMA, Godbless Lema baada ya kusota gerezani kwa zaidi ya miezi minne. Mahakama hiyo imefikia uamuzi huo baada ya kupitia hoja za pande zote mbili zilizowasilishwa mahakamani hapo leo na kuamua kuzitupitilia mbali hoja za upande wa serikali za kumnyima Lema […]

Read More..

VIDEO:Lukuvi Kumchukulia Hatua Aliyempa Mak...

Post Image

Dar es Salaam. Waziri wa Ardhi, William Lukuvi amesema atamchukulia hatua mfanyabiashara aliyemkabidhi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda eneo kwa ajili ya viwanda kwa sababu eneo hilo si lake ni mali ya Serikali. “Sitaki ardhi itumike kama sehemu ya wafanyabiashara kutakatishia fedha zao chafu,”amesema Lukuvi leo (Jumatatu) katika mkutano na waandishi […]

Read More..

Rais Magufuli Asema Epa ni Ukoloni Mwingine

Post Image

Dar es Salaam. Rais John Magufuli amemweleza Rais wa Uganda, Yoweri Museveni kwamba Mkataba wa Ushirikiano wa Uchumi na Jumuiya ya Ulaya (EPA) ni aina mpya ya ukoloni utakaoua maendeleo ya viwanda katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Siku ya mwisho ya kusaini mkataba huo ilikuwa Oktoba mosi mwaka jana, lakini katika kikao […]

Read More..

Watanzania Waliomba Majina ya Watumia ‘Un...

Post Image

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kutajwa hadharani kwa wahusika wa dawa za kulevya kumetokana na maombi ya Watanzania chini ya uongozi wa awamu ya nne. Makonda amesema katika uongozi wa Rais Jakaya Kikwete alipigiwa kelele ili awataje wahusika wa dawa za kulevya lakini aliamua kuacha vyombo vyenye […]

Read More..

VIDEO: JPM Ajitokeza Kumsaidia Neema Mwita

Post Image

Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewapongeza Madaktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa juhudi kubwa walizofanya kunusuru maisha ya Neema Mwita Wambura ambaye alijeruhiwa kwa kuunguzwa na maji ya moto kifuani, shingoni na mkononi. Pongezi hizo za Mhe. Dkt. Magufuli zimetolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Bw. Gerson Msigwa muda […]

Read More..

Lissu Kumtetea Wema

Post Image

Dar es Salaam. Wakati Wakili Tundu Lissu akijitokeza kumtetea msanii maarufu wa fani ya uigizaji wa filamu, Wema Sepetu katika kesi ya kukutwa na bangi, mrembo anayepamba video za wasanii nchini, Agnes Gerald maarufu Masogange (28) amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kutumia dawa za kulevya. Lissu ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), alijitokeza […]

Read More..

TCRA Yazungumzia Jinsi ya Kuhama Mtandao wa...

Post Image

Dar es Salaam.Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano (TCRA) imezindua mpango wa elimu kwa umma kuhusu hudumu ya kuhama mtandao mmoja wa simu kwenda mwingine bila kubadili namba ya simu ya kiganjani (MNP). Akizindua mpango huo leo Jumatano asubuhi, Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Mhandisi James Kilaba amesema lengo ni kuwapa uhuru wateja kutumia mtandao bora zaidi, […]

Read More..

Mbowe Akamatwa na Polisi, Afikishwa Kituo c...

Post Image

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe, leo Februari 20, 2017 amekamatwa na Jeshi la Polisi, Dar es Salaam wakati akienda kujisalimisha kwa ajili ya mahojiano kufuatia Mkuu wa Mkoa wa Dar, Pal Makonda kumtaja kwenye sakata la madawa. Kamanda wa Polisi Kanda maalumu Dar es Salaam Simon Sirro amethibitisha kukamatwa kwa Mwenyekiti Freeman Mbowe. Mwenyekiti wa Chadema […]

Read More..

Polisi ‘Wammulika’ Mbowe

Post Image

Dar es Salaam. Imeelezwa kuwa endapo Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe hataripoti polisi kesho, atatafutwa kwa namna ambayo jeshi hilo litaona inafaa.   Kamishna wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema jana kuwa Mbowe kupitia kwa baadhi ya viongozi aliwajulisha angeripoti Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam, Jumatano Februari 15, […]

Read More..