-->

Category Archives: Other Celebs

singers

Sugu Kuja na Shindano la‘Freedom’, Msin...

Post Image

Baada ya wimbo wa ‘Freedom’ kufanya vizuri kwenye media mbalimbali, Sugu anajipanga kuandaa shindano litakaloshindanisha wimbo utakaouzidi wimbo huo. Siku kadhaa zilizopita baada ya Sugu kuachia video ya wimbo wa ‘Freedom’ ulizua taharuki baada Mr Blue kulalamika kuwa Sugu kamuibia wimbo wake kabla ya uongozi wa studio ya MJ Record ambapo wimbo huo ulitayarishwa kuliweka […]

Read More..

TID Afungukia Penzi Lake na Wema Sepetu

Post Image

Msanii mkongwe wa muziki, TID amesema kipindi cha nyuma alikuwa anatoka kimapenzi na malkia wa filamu Wema Sepetu lakini baadae alitemwa hali ambayo ilimuumiza sana. Akizungumza katika kipindi cha Clouds TV Ijumaa hii, TID amesema hali hiyo ilimfanya atoke na wasichana wengi. “Nilikuwa ‘namdate’ Wema Sepetu akaniambia sikutaaki, tangu kipindi hicho nimekuwa na wasichana wengi. […]

Read More..

Nilitarajia Kumuona Raymond Akifanya Vizuri...

Post Image

Msanii Madee kwa mara ya kwanza amefunguka kuhusu kazi za msanii Raymond ambaye alikuwa Tip Top na sasa yuko WCB. Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, Madee amesema kuwa alitegemea kumuona Raymond akifanya vizuri, kutokana na jitihada alizokuwa nazo tangu akiwa Tip Top. “Raymond yuko vizuri anafanya vizuri ni mtu […]

Read More..

Jana Ilikuwa Siku ya Kuzaliwa ya Chid Benz,...

Post Image

Siku ya jana ilikuwa siku ya kuzaliwa kwa msanii chid benz ambaye yupo sober ‘bagamoyo sober house’,takribani miezi miwili na alipelekwa huko baada ya afya yake kuonekana kudhoofika kwa kiasi kikubwa na kuwatisha watu wengi hadi kumfanya babutale amshauri aingie sober house. Lakini kwa sasa amekuwa na mabadiliko makubwa katika muonekano wake ukilinganisha na jinsi […]

Read More..

Giggy Money: Nafanya kwa Ajili ya Kutengene...

Post Image

Video queen aliyetokelezea kwenye video kibao za bongo Gigy Money ameamua kufunguka juu ya masinema yake. Giggy ambaye haishi vituko na kuibua mapya kila siku mitandaoni aliiambia eNewz kuwa yeye wala hajali maneno ya watu na anapenda sana yale mapicha picha yake ya utupu. “Mimi sipo kwa ajili ya kiki mimi napenda kile ninachokifanya na […]

Read More..

Naonyesha Mali Zangu Kuwapa Nguvu Vijana-Na...

Post Image

Msanii Nay wa Mitego amesema mara nyingi yeye hupenda kuonesha vitu anavyo miliki zikiwepo gari, nyumba hata pesa kwa lengo kuu moja, anadai anafanya hivyo ili kuwatia moyo vijana ambao wamekata tamaa. Amesema anafanya hivyo kwa kuwa yeye mwenyewe alitoka katika maisha magumu ambayo alikuwa hadhani kama angeweza kufikia mafanikio hayo lakini alipambana na kupigania […]

Read More..

Nimesahau Habari za Shilole- Nuh Mziwanda

Post Image

Msanii Nuh Mziwanda ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa ‘Jike Shupa’ amefunguka na kusema kuwa kwa sasa yeye alishasahau habari za Shilole hivyo hata wimbo wake huo mpya hajamuimbia Shilole Kama ambavyo baadhi ya watu walikuwa wakihisi kutokana na ujumbe uliopo kwenye wimbo huo. Nuh Mziwanda akizungumza na eNEWS alisema yeye hawezi […]

Read More..

Nay Wamitego na Niva Wavuana Nguo Hadharani

Post Image

Baada ya lile drama kati ya nyota wa Bongo movie, Niva Supermariyo, na Nay wa Mitego kushika moto kutokana na wimbo wa ‘Shika adabu yako’ ya Nay na Niva kuamua kumjibu kupitia filamu ambayo aliipa jina la ‘Maisha ya mtoto wa Manzese’. Sasa mastaa hao wameamua ‘kuvuana nguo’ hadharani kwa kila mmoja kuamua kumponda mwenzake. […]

Read More..

Hawa wa Nitarejea ya Diamond Ataka Menejime...

Post Image

Msanii Hawa ambaye alifanya poa kwenye moja ya collabo iliyotikisa Afrika Mashariki, Nitarejea ya Diamond, amefungukia suala la kupata uongozi na kumsimamia kazi zake za muziki. Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na east Africa Radio, Hawa amesema anaogopa kutangaza kuwa anahitaji mtu wa kumsimamia (manager) kutokana na aliyoyapitia siku za nyuma, na kuhofia […]

Read More..

Nay wa Mitego Afunguka Kuhusu Siwema, Mzazi...

Post Image

Rapa Nay wa Mitego amefunguka na kuzungumzia nini kinaendelea baada ya kutangaza kumsaidia aliyekuwa mpenzi wake Siwema ambaye amehukumiwa kwenda jela miaka miwili kwa kosa la kumtukana shabiki kwenye mtandao wa kijamii. Nay na Siwema walifanikiwa kukaa kwenye uhusiano kwa kipindi kirefu na kufanikiwa kupata mtoto ambaye walimpa jina la Curtis kabla hawajatengana. Akizungumza na […]

Read More..

Nuh Mziwanda Afunguka Jinsi Alikiba Alivyom...

Post Image

Star wa Bongo fleva Nuh Mziwanda amefunguka kuhusiana na ugumu wa harakati za kutaka kufanya collabo na Alikiba kwani zilitaka hadi kumliza. Akizungumza na Enews Nuh amesema kuwa ilimchukua zaidi ya wiki mbili ili kumpata Kiba kwaajili ya collabo ila walivyokutana tu walipiga kazi na ikawa poa. Pia Nuh ameweka wazi kuwa amesha sahau mambo […]

Read More..

Dayna Nyange Afungukia Penzi la Prezzo

Post Image

Msanii wa Bongo Fleva Dayna Nyange amefunguka kuhusiana na tetesi kuwa waliwahi kutoka kimapenzi na Rapper kutoka nchini Kenya Prezzo na kwamba Prezzo alivunja mahusiano na mpenzi aliye kuwa naye. Akizungumza na Enewz Dayna amesema kuwa alikutana na Prezo kabla ya yeye kuwa star mkoani Morogoro katika show ambayo yeye alimfata A.Y kwaajili ya project […]

Read More..

Masoud Kipanya Arejea Rasmi Clouds FM

Post Image

Mtangazaji Masoud Kipanya Jumatano hii April 27 2016 atasikika tena kama mfanya kazi wa CloudsFM atasikika kwa mara nyingine tena Masoud ambaye alipata umaarufu sana kupitia vipindi mbalimbali vya CloudsFM toka kitambo hicho. CMG (Clouds Media Group) wamethibitisha hilo kupitia page ya Instagram kwamba Mtangazaji Masoud Kipanya anarejea kufanya kazi na atasikika kwenye show ileile […]

Read More..

Mr. Blue Amshushia Lawama Sugu, Kisa Wimbo

Post Image

Msanii Mr. Blue amelalamikia kitendo cha msanii mwenzake ambaye pia ni mbunge wa Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi au Mr. Sugu, kwa kuchukua wimbo aliomshirikisha na kuufanya wake bila ridhaa yake. Kwenye ukurasa wake wa instagram Mr. Blue ameandika ujumbe huku akiomba mashabiki wake wamshauri nini afanye, kwani Mr. Sugu anamheshimu kama kaka yake. “Ndugu […]

Read More..

Diamond Afungukia ‘Reality Show’ Ya...

Post Image

Inawezekana wasanii wakubwa kutoka nchini Nigeria, P.Square ambao sasa hivi wako nchini South Africa wakishoot video ya ngoma mpya ya Diamond wakaonekana kwenye ‘reality show’ ya huyo ambayo itaanza kuonekana hivi karibuni,kwenye moja ya post zake kwenye page yake ya ‘Instagram’ aliandika kuwa shoo hiyo sio ‘kireality show’ bali ni ‘reality show’. ‘’Nikisema sio kireality […]

Read More..

Sijawahi kuwa na Mahusiano na msanii Lady J...

Post Image

JayDee ameyasema hayo alipokuwa akijibu maswali ya papo kwa papo wakati akizindua video ya NdiNdiNdi kwenye kipindi cha FNL kinachorushwa na EATV.   Katika uzinduzi huo msanii huyo aliweka bayana kwamba ameandaa albam nzima ambapo ameanza kutoa single ya NdiNdiNdi na nyingine zitaendelea kutoka. Aidha amewashukuru watu wote ambao wanaendelea kumuunga mkono katika kazi zake […]

Read More..

Jide: Ray C Anahitaji Marafiki Sahihi

Post Image

STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ a.k.a Jide, amesema msanii mwenzake, Rehema Chalamila, anahitaji marafiki sahihi ambao watamsaidia katika kipindi hiki kigumu. Ray C ambaye amewahi kujihusisha na madawa ya kulevya, kwa sasa ameripotiwa kurejea kwenye matumizi hayo huku mara kadhaa ikiripotiwa kuwa mrembo huyo aliyekimbiza na Kibao cha Na Wewe […]

Read More..

Papa Wemba Afariki Dunia Nchini Ivory Coast

Post Image

Mwanamuziki wa rhumba nchini DRC Jules Shungu Wembadio Pene Kikumba maarufu kwa jina la Papa Wemba amefariki dunia leo nchini Ivory Coast. Papaa Wemba amefariki dunia baada ya kuugua ghafla akiwa katika shughuli za kimuziki ambapo alianguka ghafla jukwaani katika tamasha la Festival des Musiques Urbaines d’Anoumabo (FEMUA) linaloendelea Abidjan, Ivory Coast. Bado chanzo cha […]

Read More..