-->

Daily Archives: January 8, 2016

Wastara Afunga Ndoa na Mbunge wa CCM usiku ...

Post Image

Mbali na sakata la kutaka kubomolewa kwa nyumba zake mbili zilizowekwa X kuwa bado halijapoa, Muigizaji Wastara Juma, jana usiku amefunga ndoa na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha CCM (UVCCM) Taifa ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Donge, Sadifa Khamis Juma. Hongera sana Wastara. Eatv on facebook

Read More..

Majuto: Kuhiji Kunanipa Wakati Mgumu wa Kui...

Post Image

MSANII nguli wa vichekesho nchini, Amri Athumani ‘King Majuto’, amesema anapata shida na aina ya uigizaji kwa sasa baada ya kwenda kuhiji na kuwa Alhaji. Akizungumza jana katika Ofisi za New Habari, King Majuto, alisema   unapokwenda kuhiji unatakiwa kufuata sheria za dini na mambo yenye hekima na kujiepusha na vitu ambavyo havitakiwi kwenye dini. “Vitu […]

Read More..

Shilole: Tatizo Nyota Ndiyo Maana Nagandwa

Post Image

STAA wa filamu za Kibongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’m ameibuka na kusema kuwa nyota yake iko juu ndiyo maana anagandwa sana wanaume. Shilole aliyasema hayo kufuatia kuwepo kwa madai kuwa, baada ya kuachana na Nuh Mziwanda kuna kibosile mmoja kutoka Nigeria ametua kwa ajili ya penzi lake lakini amekuwa akimkwepa kwa kuwa ana jamaa mwingine. Alipobanwa […]

Read More..

Lulu Amponza Tekno! Comments za R.I.P Zajaa...

Post Image

Tukio la kifo cha marehemu Steven Kanumba linaendelea kumwandama aliyekuwa mpenzi wake, Elizabeth “Lulu” Michael, kutokana na baadhi ya Watanzania kuendeleza tabia isiyokubalika, ya kumkejeli mwanaume yeyote anayesemekana kuwa na uhusiano naye kuwa kifo kinamuita. Kitendo hicho kimejitokeza pia kwa muimbaji wa Nigeria, Tekno aliyedaiwa kuwa na uhusiano naye. Hata hivyo Lulu alikanusha na kudai […]

Read More..

Samatta Aibuka Shujaa Tuzo za Afrika Huko A...

Post Image

Mwanasoka raia wa Tanzania anayechezea klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Ally Samatta amenyakua tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika anachezea ndani ya bara la Afrika. Samatta mwenye umri wa miaka 23 amenyakua tuzo hiyo kwa Wachezaji wachezao ndani kwa kuzoa Pointi 127 akiwaangusha Mchezaji mwenzake wa TP Mazembe Kipa […]

Read More..