-->

Daily Archives: January 18, 2016

Mititu Aelezea Jinsi Marehemu Edwin Semzaba...

Post Image

Kufuatia kifo cha mwandishi wa vitabu vya Kiswahili kikiwemo, Ngoswe: Penzi Kitovu cha Uzembe, Edwin Semzaba amefariki dunia jana Jumapili ya January, 17, muongozaji na mtengenezaji wa filamu maarufu hapa bongo, Willium Mtitu kupitia ukurasa wake mtandaoni alieza jinsi alivyoguswa na msiba huo. Pumzika kwa amani mwalim mimi ni mmoja kati ya watu aliyefamikiwa kuongoza(KUDIRECT)mchezo […]

Read More..

Vijana Wawili Jela Miaka Mitatu Kwa Kuduruf...

Post Image

Mahakama ya wilaya ya Ilala imewahukumu vijana wawili sayi kapama na Rigobert Massawe miaka3 jela au kulipa faini ya laki sita kwa kosa la kudurufu na kusambaza kazi za sanaa kinyume na sheria. Akisomea mashitaka hayo na karani Plasidia Namalla, mbele ya hakimu Adolf Sachore, katika kesi iliyofunguliwa kwa jarada 240/ 2013. Watuhumiwa hao walikamatwa […]

Read More..

Picha: Polisi Wazima Ghasia Za Watu Waliobo...

Post Image

Jeshi la Polisi Jumatatu hii limezima ghasia za wananchi wenye hasira maeneo ya Kinondoni Mkwajuni jijini Dar es Salaam baada ya kupinga zoezi la bomoa bomoa kwa mara ya pili kufuatia kukataa kuondoka katika eneo hilo kwa madai hawana pa kwenda. Bi Fatuma akizungumza kwa uchungu Akizungumza na Bongo5 Jumatatu hii mmoja kati ya waathirika […]

Read More..

Koleta, Lungi Watikisa Ndoa ya Mbunge Mhong...

Post Image

DAR ES SALAAM: Ubuyu! Wasanii wawili wa Bongo Muvi, Coletha Raymond ‘Koleta’ na Lungi Maulanga wanadaiwa kutikisa ndoa ya mbunge machachari wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (jina tunalo) anayesemekana kuwa ni mhongaji mzuri. Baada ya kunyetishiwa ishu hiyo, gazeti hili liliwatafuta watuhumiwa hao ambapo kwa upande wake Lungi (pichani) alikiri ‘kujuana’ na […]

Read More..

Mama Kanumba: Lulu Umenichosha, Uniache!

Post Image

Bifu jipya! Kwa mara nyingine, baada ya kurushiana vijembe kwa muda mrefu, mama mzazi wa aliyekuwa stadi wa sinema za Kibongo, marehemu Steven Charles Kanumba ‘The Great’, Flora Mtegoa amemuonya staa wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kuwa amemchosha kwa vijembe mitandaoni hivyo anamuomba amuache. NI KATIKA MAHOJIANO MAALUM Katika mahojiano maalum na Ijumaa Wikienda, […]

Read More..

Majuto Awataka Wasanii Wafanye Haya

Post Image

MCHEKESHAJI mkongwe nchini, Amri Athumani ‘King Majuto’, amefunguka na kudai kwamba kuna baadhi ya wasanii wa filamu wanafanya kazi zao bila ya kuwa na lengo la kuelimisha jamii zinazowazunguka. Msanii huyo amedai kwamba, wasanii wengi wapo kwa ajili ya kufurahisha watu lakini wanasahau kwamba wanatakiwa kuelimisha jamii kwa kuwa wao ni kioo cha jamii. “Ukiangalia […]

Read More..

Punguza Uzito kwa Njia Iliyo Salama Zaidi

Post Image

Kupunguza uzito lazima  kuwe kwa afya kwa kuzingatia upunguaji salama kwa bidhaa zilizothibitishwa na zenye vibali. Wengi wamekuwa wakipumbazwa na urahisi wa bei matokeo yake wamejikuta wakiishia kupata madhara makubwa ya kudumu ikiwamo ugumba, kansa na hata kupoteza maisha. Mara nyingi bidhaa hizi za hatari huuzwa kwa kificho kificho na wauzaji wake hawajui hata mchanganyiko […]

Read More..

Tunda Kuisindikiza Mama Kija na Filamu

Post Image

Katika kuleta utofauti kwenye game, star wa muziki Tunda Man ameamua kuinogesha video yake ya mama Kijacho ambayo inatarajiwa kutoka wiki ijayo na vipaji vya mastaa wa nguvu kutoka tasnia ya maigizo bongo, Riyama, Mboto na Wengine. Tunda amesema kuwa, kazi hiyo itafuatiwa na filamu fupi kuhusiana na kisa cha Mama Kijacho ambapo sambamba na […]

Read More..