-->

Daily Archives: January 22, 2016

Shilole Amtesa Nuh kwa Tatuu

Post Image

Kama huna taarifa basi kaa ukijua kuwa, lile penzi lililokuwa na sarakasi nyingi, mara wafumaniane, mara wapigane, mara waachane sasa limefikia mwisho kama siyo kikomo. Nawazungumzia mastaa wawili, Nuh Mziwanda na Shilole ambao wametangaza rasmi kwamba kila mmoja kuwa na hamsini zake. Shilole amesema kuwa, haoni sababu ya kuendelea na Nuh kwa kuwa anahisi anambana […]

Read More..

Punguza Uzito kwa Njia Iliyo Salama Zaidi

Post Image

Kupunguza uzito lazima  kuwe kwa afya kwa kuzingatia upunguaji salama kwa bidhaa zilizothibitishwa na zenye vibali. Wengi wamekuwa wakipumbazwa na urahisi wa bei matokeo yake wamejikuta wakiishia kupata madhara makubwa ya kudumu ikiwamo ugumba, kansa na hata kupoteza maisha. Mara nyingi bidhaa hizi za hatari huuzwa kwa kificho kificho na wauzaji wake hawajui hata mchanganyiko […]

Read More..

Davina: Nimezaa Sijazeeka na Bado Nalipa

Post Image

Staa wa Filamu za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ amedai kuwa kuzaa siyo kuzeeka kama wasanii wengine wanavyodhani bali ni kupata heshima na kupendeza kama alivyonawiri yeye. Akizungumza na Ijumaa, Davina alisema kuwa yeye ni mama wa watoto lakini kila kukicha anazidi kupendeza na kuonekana ‘kigori’ tofauti na watu wanavyodhani. “Unajua kuna baadhi ya watu wanadiriki […]

Read More..

Diamond: Hata Kama Tiffah Sio Mtoto Wangu, ...

Post Image

Diamond Platnumz amechukizwa na jinsi wasanii anaowaheshimu wanavyohaingaika kumchafua yeye na mwanae Tiffah mtandaoni na amesema tayari anawajua wasanii hao. Akizungumza kwa hasia na Ayo TV Alhamisi hii, Diamond alisema anawashangaa wasanii wanaotumia muda mwingi kumponda mtoto wake kuliko kutafuta pesa. “Watu wamekaa kwenye sanaa muda mrefu mimi nimewakuta, nawaona wameanza kuwa mastaa kabla ya […]

Read More..