-->

Daily Archives: January 30, 2016

Namshukuru Mungu kwa Mara ya Kwanza Nimepat...

Post Image

staa wa Bongo Movies na mkali wa ‘baby mama drama’ , Faiza Ally amemshukuru Mugu baada ya mashabiki wengi kumuandikia comment nzuri mtandaoni kwa posti yake akiwa amevalia ‘kidenti’ akiwa kwenye studio za EATV usiku wa jana tofauti na posti zake za nyuma. Nachukua nafasi hii kumshukuru M.Mungu mwingi wa rehma kwa kuwa naona kwa […]

Read More..

Tukumbuke Kuwa Haya Maisha Ya Duniani ni ya...

Post Image

Kutoka kwenye ukurasa wake mtandaoni,nyota wa bongo movies, Jacqueline Wolper ametukumbusha hili. Kuna wakati tunatatakiwa tujue na tukumbuke kuwa haya maisha ya duniani ni ya kupita kuanzia binadamu pamoja na vitu vya duniani. Binadam tunajisahau sana tunawaza kutafuta mapesa na magari ya kifahari na majumba ya kifahari lakini hatujipangi kutafuta maisha ya huko tuendako yani […]

Read More..

Dimpoz: Huu Ndio Mkakati Wangu Kwa 2016

Post Image

Msanii wa muziki Ommy Dimpoz, ameeleza kuwa wakati wasanii wengine wakiwa na mipango mbalimbali kuukabili mwaka 2016, kwa upande wake akiwa na timu nzito ya wasimamizi, amejipanga kuwa sasa ndiyo wakati wake kutoka na kolabo kubwa za kimataifa. Dimpoz amesema kuwa, kazi hiyo ambayo pia ni matunda ya usimamizi wake mpya itaanza kuonekana kupitia project […]

Read More..

Tungeulizwa Wananchi Kwanza Bunge Kuwa Live...

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo kutoka katika kundi la Weusi, Niki wa pili amefunguka na kusema kuwa serikali kabla ya kufanya maamuzi ya kuzuia matangazo ya moja kwa moja ya bunge kurushwa kupitia Televisheni ya taifa walipaswa kwanza kuwauliza wananchi. Niki wa Pili amesema hayo kupitia Account yake ta Twitter baada ya serikali kuweka msimamo […]

Read More..

Wema Awekwa Chini ya Ulinzi

Post Image

Mama kijacho Wema Abraham Sepetu ‘Madam’ kwa mara nyingine ametengeneza kichwa cha habari, safari hii amewekwa chini ya ulinzi wa polisi kwa kosa la kuendesha gari aina ya Range Rover Evogue bila kuwa na vibali, Risasi Jumamosi lina ‘full’ stori. Tukio hilo lililodumu kwa takriban saa tatu lilijiri Jumanne iliyopita maeneo ya Aficana, Mbezi Beach […]

Read More..

Siyo Lazima Sote Tubanane Dar –Vinego

Post Image

MTAYARISHAJI na mwigizaji wa filamu Bongo Baraka Selemani ‘Vinego dizaina’ amewashauri watayarishaji wa filamu kutoka mikoani wasikimbilie wote Dar es salaam kwa sababu ndio kwenye soko la filamu bali wajikite mikoani kama anavyofanya yeye kwani huko ndio kuna mazingira mazuri . “Mikoani kuna mazingira mazuri sana ya kutengenezea filamu kwani kuna uhalisia sana kuliko huku […]

Read More..