-->

Daily Archives: April 2, 2017

Gabo, Miaka 12 Kwenye Ndoa

Post Image

MASTAA wengi ulimwenguni wamekuwa wakishindwa kudumu kwa muda mrefu kwenye ndoa zao. Ni wachache walioweza kukaa na wenzi wao kwa zaidi ya miaka mitano kabla ya kuvunjika. Hapa Bongo, miongoni mwa mastaa walio kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka kumi ni Salim Ahmed ‘Gabo’ ambaye amefanya vizuri kwenye sinema nyingi zikiwemo Bado Natafuta, Safari ya […]

Read More..

Hakuna cha kurekebisha kwenye ‘Wapo’ – Nay

Post Image

Msanii Nay wa Mitego ambaye mwisho wa wiki amekutana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amefunguka na kushukuru kukutana na Waziri mwenye dhamana na kusema kwa sasa hakuna anachoweza kubadilisha kwenye wimbo huo. Nay wa Mitego anasema kwa sasa hakuna kitu anachoweza kubadilisha kwenye wimbo huo kwani haukuwa na lengo […]

Read More..

Saida Karoli: Diamond na Belle 9 Waliniokoa...

Post Image

Licha ya kuwa mpambanaji kwa muda mrefu ili arudi tena kwenye muziki, kumbe Saida Karoli alishakata tamaa ya kutoboa tena Mama huyo mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni amedai kuwa baada ya Belle 9 na Diamond kuachia nyimbo zao walizotumia baadhi ya vitu kutoka kwenye wimbo wake wa ‘Maria ya Salome’ ndio zilimpa nguvu mpya […]

Read More..

Maoni:Darassa Kazimwa na Rais Magufuli…

Post Image

255 champion boy niite Mbwana Samatta haaa…” Ngoma linaanza kibabe. Linaisha kindava. Na ‘biti’ ya kikatili kama sound track ya movie la kimafia. Lazima ukae. Alikuwa yeye tu kwa kipindi kirefu. Aliwafunika wanamuziki wote mpaka mashabiki wao. Miaka mingi imepita bila wimbo wa kutikisa nchi hii kutoka. Darassa alipokuja na ngoma yake ya “Muziki” alishitua […]

Read More..

Ney Kafanikisha, Ujumbe Umefika

Post Image

Nimekuwa nikifuatilia taarifa za msanii Emmanuel Elibariki au kwa jina la kisanii, Ney wa Mitego katika magazeti ya kila siku, redio, televisheni na kwenye mtandao. Ney alifukuliwa kitandani saa nane usiku. Akadakwa na polisi. Ni Jumapili iliyopita katika nyumba ya kulala wageni iitwayo Premier Lodge mjini Turiani; mkoani Morogoro. Ney alimalizia zile saa chache kabla […]

Read More..

Kuna Diamond Halafu Harmonize

Post Image

SAFARI ya kutembelea makao makuu na studio za Wasafi Classic, inabakia kuwa yenye kumbukumbu ya kipekee kwa timu ya waandishi wa Mwanaspoti iliyotembelea ofisi hizo hivi karibuni. Tunakumbuka ilikuwa muda mfupi baada ya kumaliza kufanya mahojiano ya kina na kinara wa kundi hilo, Diamond Platinumz, tulianza kujiandaa kutimka baada ya kuridhika na kazi nzuri tuliyofanya […]

Read More..

Hiki Ndicho Shigongo Kamshauri Alikiba

Post Image

Mfanyabiashara Erick Shigongo amefunguka na kuamua kumshauri Alikiba kuhusiana na muziki wake na namna ambavyo anatakiwa kuishi kwa mipango ili hata siku asipokuwepo kwenye ramani ya muziki awe na maisha yenye tija kulingana na kazi alizofanya nyuma. Erick Shigongo ameamua kufanya jambo hili kama kuwakumbusha vijana pamoja na watanzania kiujumla kuwa siku zote unapopata mafanikio […]

Read More..