-->

Daily Archives: April 3, 2017

Nay wa Mitego Ahofia Usalama wa Maisha Yake

Post Image

Rapa Nay wa Mitego anayetamba na wimbo wa  ‘Wapo’  uliojipatia umaarufu mkubwa hadi serikalini amedai kuwa usalama wa maisha yake upo hatarini na kwamba kuna watu wanaopanga kumpoteza ili asiwepo duniani. Katika ukurasa wake wa Instagram Nay ‘amerusha jiwe gizani’ pasipo kumtaja mtu ambaye anataka kumuangamiza huku  akisisistiza kuwa yupo tayari kufanyiwa chochote na kwamba hajajipanga […]

Read More..

Steve Nyerere Afungukia Nyumba Ndogo

Post Image

Komediani wa Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amefungukia tetesi za kuwa na nyumba ndogo akidai kuwa hayo ni maneno ya watu kwani ana mkewe mmoja tu. Akizungumza na Wikienda , Steve alisema kuwa, watu wanaosema yeye ana nyumba ndogo wanamzushia kwani katika maisha yake hajawahi kuwa na nyumba ndogo. “Unajua watu wakitaka kukuzushia jambo huwezi […]

Read More..

Harmonaze Hana Jeuri ya Kuniacha- Wolper

Post Image

JACK Wolper amefunguka kuwa mpenzi wake wa sasa mwanamuziki wa kizazi kipya Harmonaze hana uwezo wa kumuacha kimapenzi pamoja na tetesi ambazo usikika kama mwanamuziki huyo kuwa na warembo wengine anaotoka nao kimapenzi. “Wengi wanaongea sana kuhusu mpenzi wangu kama anatoka na wanawake wengi pengine inaweza kuwa ndio sababu ya kuniacha mimi hicho hakiwezekana wanaongea […]

Read More..

Harmorapa Arushiwa Chupa Stejini

Post Image

Msanii Harmorapa ambaye anafanya vyema na wimbo wake ‘Kiboko ya mabishoo’ jana usiku kwenye usiku wa Komela alijikuta katika wakati mgumu baada ya moja ya shabiki aliyekuwepo katika show hiyo kumrushia chupa akiwa stejini. Harmorapa ambaye katika show hiyo alitokea kama mgeni mwalikwa, alipata nafasi ya kuwasalimu mashabiki wake na kufanya show kidogo lakini wakati rapa […]

Read More..